EXAMINATION INSTRUCTIONS ZILIZOSHIBA

Hii instruction kama ulikua chimbo unaweza ukagoma fungua mtihani wallah
 
Mi naweza kukubali hiyo kaandika lecturer tena mzee. .. Malecturer wa zaman wanapenda kukomoana sana...mwingine atoi A wala B+ *****...
 
Itakuwa fake hii, maana imekuwa ikitambaa na logo za vyuo tofauti tofauti
 
Mikwara ya bure , communication skills hamna kitu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…