Exam patern

20PROFF

JF-Expert Member
Joined
Nov 5, 2013
Posts
8,217
Reaction score
7,255
Elimu inarahisishwa sana
 

Attachments

  • 1422902619345.jpg
    53.8 KB · Views: 1,038
kwa level gani imechange hivi mbona hujatueleza
 
Utafika mda watasema atakaewahi chumba cha mtihani amefaulu, bado wengi sana watafeli kwa utamaduni wa kutozingatua mda
 
Utafika mda watasema atakaewahi chumba cha mtihani amefaulu, bado wengi sana watafeli kwa utamaduni wa kutozingatua mda

Kuna watu watalala darasani
 
BRN ... Kama tuna wataalamu wa tasnia ya utabibu waliosoma miaka ya ''answer all questions'' na bado wanapasua watu vichwa badala ya miguu basi hawa wa ''thanks for coming'' na ''please only read question'' sishangai wakafanya upasuaji wa moyo badala ya kidole cha mkono!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…