Ex-wangu nakukumbuka sana, natamani urudi

Ex-wangu nakukumbuka sana, natamani urudi

Ex Ni pesa

Aliipata mgodini mererani ambako kwa Sasa mgodi umezungushiwa ukuta na bilionea laizer kapata mawe mawili (mapacha) anazifaidi pesa zake ingawa Ni mzee. Yeye alipokua nazo alikua anaitumbua ovyo mpaka kuzirusha stejini kwa kina Mr. Nice

Alisumbua sana kwenye bar na pesa mpaka washkaji wakawa wanahisi pesa zake kazipata kwa njia za kishirikina (cuz zilikua Ni nyingi)

Moral of the story: Ukipata pesa jitahidi kuishi kawaida kama vile haujapata ela na usiwe na wenge. Muombe sana Mungu hakika yeye ndiye ajuaye kesho yetu.
 
Pesa.jpg
 
Watu wanavichwa vigumu sana huwezi kuwa umesoma story nzima afu ushindwe kufumbua fumbo hilo... Alla in alla jamaa kajitahd sana
 
Ex hukumpa hela yako coz ulimuona wa kawaida hukumjali kwa chochote.leo kajipatia mzee wake anampa hela na kusaza leo unataka atudi kwenye manyanyaso yako? Huna aibu
 
Back
Top Bottom