gilldenu
JF-Expert Member
- Mar 25, 2015
- 2,914
- 3,003
Hahahah nani uyo mkuuMi nmechapa ukweli tu kama anavyofanyaga msiempenda
Hahahah nani uyo mkuuMi nmechapa ukweli tu kama anavyofanyaga msiempenda
Arudi kufanyaje na yeye ni mke wa mtu tayari? Mwache apambanie kombe huyo, janamke lisilo na msimamo halifai hata kwa kulumangia. Ipo siku atakuacha tena ahamie kwa dume jingine kusambaza uzazi tu.
..
Wa MagogoniHahahah nani uyo mkuu
Ajazaa , oja yake AnanyanyaswaNahuko kazaa wangapi? Vp saiz Dini siyo kikwazo tena?
Nahuko kazaa wangapi? Vp saiz Dini siyo kikwazo tena?
Ohoo sawa sawaWa Magogoni
Mshipa, habari za siku nyingi!
Lakini yeye si ndo alikata utepe?Haumpendi mwanaume mwenzio Mkuu, hiyo ndoa haitakuwa na furaha hata siku moja
Sent using Jamii Forums mobile app