Ex wangu anatoka na brother yangu

Ex wangu anatoka na brother yangu

Tabia mbaya sana !

Halafu ni laana ndugu moya kufunua sehemu moja!
 
Nataka kuhuliza bro’s

Kuna mwanamke ambaye nilikuwa naye kwenye relationship huyo mwanamke tulipendana saana mimi na yeye mpaka tukatambulishana kwa wazazi

Kwao mimi walinikubali ila kwetu mama yangu alivyo muona huyo mwanamke tu ukweli alikataa akasema mwanangu Huyu sio mwanamke wa kuoa mwanamke wa kuoa anajulikana tu hata kwa kumtanzama machoni Huyu mwanamke wako hafanani kabisa kuwa mke wa mtu

Mimi nilipingana na mama yangu ila ukweli huyo mwanamke alinisumbuwa saana kila siku nilikuwa mtu wa kuomba ushauri tu kwa brother yangu Yaani mtoto wakike alikuwa atabiriki tabia zake zilikuwa hizi

Alikuwa rafiki saana wa wanaume
Alikuwa mwenye kiburi zarau
Na kujiona mzuri kuliko wengine eti kisa ni mweupe saana

Kwa kumpenda kwangu mpaka nilikwenda kufunga ndoa naye bila familia yangu kujua au rafiki yangu yeyote tofauti na huyo brother yangu pamoja na familia ya mtoto wa kike
Sasa tulivyo funga ndoa nikamchukuwa kwa ku danganya familia yangu kuwa nimerendeza tu wala sijafunga ndoa wazazi wakanikataa
Maisha ya kawa magumu kwangu sasa kwasababu mwanamke alikuwa ni mtu ambaye ana penda urembo alivyo Ona maisha yangu yamebadirika aka fanya vituko vyake vingi mpaka akaenda kwao

Sasa cha ajabu huyo mwanamke anaye toka naye sasa hivi ni huyo brother yangu ambaye alikuwa mshauri wangu ndo ana toka naye kipenzi nimesha mshauria brother mpaka siku hizi apendi tena kuongeya na mimi mtoto wa kike naye ana nijibu kwa jeuri kuwa ata brother yangu asipo kuwa naye hawezi kosa wa kumuoa yeye ni mrembo

Sasa ndugu zangu ivi haya anayo fanya brother yangu yupo sahii kabisa kutoka ki mapenzi na ex wangu au vipi

Huyo brother ni brother yangu kwa upande wa ki familia baba yake uyo brother yangu na baba yangu tumbo moja kabisa
Mmmmh uyo manzi siyo kabisa ,atembee na wewe afu kaka Ako ....ukisikiaga wanasema asiyesikia la mkui ndo hili...
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom