ngauyase
Senior Member
- May 24, 2013
- 106
- 65
najua huwezi kufanya hivyo. Roho hyo huna.
Unanifahamu mkuunajua huwezi kufanya hivyo. Roho hyo huna.
Unanifahamu mkuu
Mmesha achana hata kama akitoka na baba yako mzazi kuna ubaya gani nawe tembea na dadake
Unakometi kama Mwanaume hanithi hebu jaribu kukoment kama Mwanaume mwenye U wanaumeUnafikiria km mwanamke malaya
Embu jrb kufikiria km mwanamke aliyejitunza ndo utamuelewA mtoa mada
Unakometi kama Mwanaume hanithi hebu jaribu kukoment kama Mwanaume mwenye U wanaume
Nauza pamoja na Mama yakoSawa kahabA
Nuzulati I love you
Undugu hauwezi vunjika kwa kushare daladala sema tu huyo sister ndo ujidhalilishaKwa akili ya mwanamke hapo anaona km anakukomoa ndy maana ameamua kumtunuku broa wako mbususu,kumbe ndy analiwa kimasihara hivyo
Mwanamke anaweza kufanya kitu cha kijinga sn kudhani anamkomoa mwanaume kumbe kiuhalisia anaudhalilisha utu wake.wengi sn wameliwa kimasihara Kwa kigezo cha kulipiza kisasi ndani ya nyumba hasa mwanaume anapocheat nae anaenda kugawa Kwa Yule jamaa anayemsumbua sn ili atulize machungu
Bro wako nae ni kiazi..anafanya kitu cha kijinga sn,kichwa cha chini kinamzidi akili matokeo yake anausnitch undugu wenu..nenda kamchane
Me anatoka vipi na broNa wewe katoke na bro wake
Kwa mwandiko huu, nadhauri uwekeze sana kwenye kujifunza kusoma, kuandika na kuongea kiswahiliNataka kuhuliza bro’s
Kuna mwanamke ambaye nilikuwa naye kwenye relationship huyo mwanamke tulipendana saana mimi na yeye mpaka tukatambulishana kwa wazazi
Kwao mimi walinikubali ila kwetu mama yangu alivyo muona huyo mwanamke tu ukweli alikataa akasema mwanangu Huyu sio mwanamke wa kuoa mwanamke wa kuoa anajulikana tu hata kwa kumtanzama machoni Huyu mwanamke wako hafanani kabisa kuwa mke wa mtu
Mimi nilipingana na mama yangu ila ukweli huyo mwanamke alinisumbuwa saana kila siku nilikuwa mtu wa kuomba ushauri tu kwa brother yangu Yaani mtoto wakike alikuwa atabiriki tabia zake zilikuwa hizi
Alikuwa rafiki saana wa wanaume
Alikuwa mwenye kiburi zarau
Na kujiona mzuri kuliko wengine eti kisa ni mweupe saana
Kwa kumpenda kwangu mpaka nilikwenda kufunga ndoa naye bila familia yangu kujua au rafiki yangu yeyote tofauti na huyo brother yangu pamoja na familia ya mtoto wa kike
Sasa tulivyo funga ndoa nikamchukuwa kwa ku danganya familia yangu kuwa nimerendeza tu wala sijafunga ndoa wazazi wakanikataa
Maisha ya kawa magumu kwangu sasa kwasababu mwanamke alikuwa ni mtu ambaye ana penda urembo alivyo Ona maisha yangu yamebadirika aka fanya vituko vyake vingi mpaka akaenda kwao
Sasa cha ajabu huyo mwanamke anaye toka naye sasa hivi ni huyo brother yangu ambaye alikuwa mshauri wangu ndo ana toka naye kipenzi nimesha mshauria brother mpaka siku hizi apendi tena kuongeya na mimi mtoto wa kike naye ana nijibu kwa jeuri kuwa ata brother yangu asipo kuwa naye hawezi kosa wa kumuoa yeye ni mrembo
Sasa ndugu zangu ivi haya anayo fanya brother yangu yupo sahii kabisa kutoka ki mapenzi na ex wangu au vipi
Huyo brother ni brother yangu kwa upande wa ki familia baba yake uyo brother yangu na baba yangu tumbo moja kabisa
Umetumia kigezo gani kusema huyu mwanamke kawazidi akili mkuuKwa mwandiko huu, nadhauri uwekeze sana kwenye kujifunza kusoma, kuandika na kuongea kiswahili
La pili, mna matatizo nyumbani, mama, wewe na huyo brother wako…. Mrudieni Mungu
La tatu, huyo kicheche kawazidi akili wote
😁😁😁😁😁😁😁😁Hii kesi haina tofauti na ile ya morison, simba&yanga
Kama hujaelewa hilo basi kazi unayoUmetumia kigezo gani kusema huyu mwanamke kawazidi akili mkuu