King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 60,371
- 88,587
Unaendelea kuwa na namba yake ya nini? Futa namba au weka GBwhatsapp usome kimya kimya.
Ulitaka nipost kijembe status? Siwezi aise
Mimi na wewe hatujaachana bali tumepeana likizo tu.Mbona we bado una no zangu
Asifute kabsa yeye atafute pesa tu.Futa namba usione, bado unafatilia status zake za nini? Au unamiss kitumbua?