yuleMskinny
JF-Expert Member
- Sep 22, 2017
- 242
- 136
Msami Baby, aliewahi kua kiben10 cha UWOYA kabla ya janjaro asema maneno haya kwa Dogo janja
Jiongeze Mkuu Hapo kwa MSAMI BABY!Celebrity forum cku hizi inakata stim.......kwani mkiandika mnapungukiwa nini.au mnazani wote tunamijihela ya bando?
Mnaboa bn ndo mana mnakosa ata wachangiaji na umbea umepungua ladha sababu hii......
Back to topic
Yan katika pipoz sizielewagi ni huyu msami baby......iv inakuaje mwanaume kujiita baby.
Pole .unatumia bando lamtandao gani vile .Tuandikie hatuna bando la utube
Usiulize mkuu, wemntumie salio ajinunulie...Pole .unatumia bando lamtandao gani vile .
Alete namba sasa kule chemba nitumie.Usiulize mkuu, wemntumie salio ajinunulie...
Kuna mwingine humu anajiita LONDON BABY yaani huwa sielewi kabisaCelebrity forum cku hizi inakata stim.......kwani mkiandika mnapungukiwa nini.au mnazani wote tunamijihela ya bando?
Mnaboa bn ndo mana mnakosa ata wachangiaji na umbea umepungua ladha sababu hii......
Back to topic
Yan katika pipoz sizielewagi ni huyu msami baby......iv inakuaje mwanaume kujiita baby.
Pole.dola imerudi sawaTuandikie hatuna bando la utube
Pole mkuu dola mbona ishashuka iko sawaCelebrity forum cku hizi inakata stim.......kwani mkiandika mnapungukiwa nini.au mnazani wote tunamijihela ya bando?
Mnaboa bn ndo mana mnakosa ata wachangiaji na umbea umepungua ladha sababu hii......
Back to topic
Yan katika pipoz sizielewagi ni huyu msami baby......iv inakuaje mwanaume kujiita baby.
BABY alafu unakuta limekaa mahali linakula chipsi yaiKuna mwingine humu anajiita LONDON BABY yaani huwa sielewi kabisa
HalotelPole .unatumia bando lamtandao gani vile .
ushasema wapenz wetuMbona nyie mnakubali kuitwa BABY na wake au wapenzi wenu? Ndo hivyo ba yy kaamua ajiite kabla ya kuitwa.......
kweli inatia shaka mkuuKuna mwingine humu anajiita LONDON BABY yaani huwa sielewi kabisa
Amewapongeza na kuwasifu kwa kuwafanya watu wajue kuwa "ukubwa wa si tatizo bali ni namba tu...na ukubwa wa kamasi si wingi wa kamasi".Tuandikie hatuna bando la utube
Hadi ajue namba yake.Usiulize mkuu, wemntumie salio ajinunulie...
Hana lolote alikua wapi kuongea!Amewapongeza na kuwasifu kwa kuwafanya watu wajue kuwa "ukubwa wa si tatizo bali ni namba tu...na ukubwa wa kamasi si wingi wa kamasi".
Pia amemnanga Irene kuwa ndiye alomtongoza huyo X wake kipindi hicho na sasa wameachana.