Ex- mchepuko siuelewi

Bado anakupenda huyo
yaani haeleweki kabisa maana alikuwa mchepuko wangu kwa miaka kama miwili hivi na uwa tunaongea bila kufichana I mean we were open to each other ndio maana hata alipokuja na hiyo hoja nilimuelewa kwa kuwa tunaongea nae kwa uhuru, ukweli na uwazi
 
Huo dawa yake ni hii tu. Maana hamna namna tena...

 
yaani we jamaa unachokifanya sasa ni sawa na kutumia muwa kama bakora ya kutembelea, ngoja kiu ikubane utabadili matumizi penda usipende
 
Endelea nae huyo. Maana hakuna hamna. Ye bado anakufeel. Alikuwa anakujaribu tu. Ila we unaonekana hujaribiwi mkuu
 
Yaani asikupe stress kabisa...

Akuache mwenyewe na mizinga akupige???

Haiwezekani yaani haiwezekanai

Msemee kwa mkeo

Usikubali!!!
[emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji13] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
 
Kumuonyesha dem au
Mchepuko mahali unapofanyia kaz n kosa la jinai
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…