masai dada
JF-Expert Member
- Dec 29, 2013
- 16,827
- 16,913
Nishampa
kwani wakati anakupa hivyo vitu, makubaliano yalikuwa ni nini?
Hii siyo haki brother don't generalise, ni ushamba uliopitiliza kumdai demu gift ulizompa, labda kama ulikuwa msanii ukampa gari na kadi ukabaki nayo basi ukidai akurudishie poa tu kwa sababu gari bado ni yako lakini gadgets zingine kudai ni ushamba.Kakutumia au mmetumiana? nyie mademu wehu sana kudadadeki rudisha vitu vya mshikaji vyote! ulivyokuwa anakuletea na kusema ooooh! babe asaaante! i lv u so much n.k ulijua alitoa kamasi kuvipata?? rudisha ww sio mali yako hiyo mtafte mwingine umshobokee atakununulia vingine!
mademu wehu sana ndo maana mi huwagonga mara moko tu akinishobokea tena bila salaliii, akigutuka nasepa!!!
mwambie asubuli maumivu, kama ni gari na ulikuwa unatamba basi jizoeze kupanda daladala mapema. Nashauri kama ni gari, peleka kwa mafundi wachakachue spea umpe kikiwa hovyo. Nawe uwe unapeleleza, sio unadandia li mme ata kama kwao wana magonjwa ya kurithi
Hii siyo haki brother don't generalise, ni ushamba uliopitiliza kumdai demu gift ulizompa, labda kama ulikuwa msanii ukampa gari na kadi ukabaki nayo basi ukidai akurudishie poa tu kwa sababu gari bado ni yako lakini gadgets zingine kudai ni ushamba.
Adai na pocket money alizokuwa anampa kama yeye ni bingwa wa kudai.
Hiyo pala ya mwisho imebeba ujumbe mzito sana.mwambie asubuli maumivu, kama ni gari na ulikuwa unatamba basi jizoeze kupanda daladala mapema. Nashauri kama ni gari, peleka kwa mafundi wachakachue spea umpe kikiwa hovyo. Nawe uwe unapeleleza, sio unadandia li mme ata kama kwao wana magonjwa ya kurithi
Mimi nakushauri nenda karipoti polisi pia nyumba unayoishi tafuta ndugu wengine wakuishi nao usiishe peke yako itakuwa hatari kwako.HAkikisha nyumba unayoishi mko wengi na usisahau kuripoti polisi.