Ex-boxer got beaten up by grandma in Russia

Ex-boxer got beaten up by grandma in Russia

Mmenifanya nipekue kuhusu Urusi aisee kumbe hii nchi ni kubwa,Yaani ndani ya nchi moja kuna masaa kama 8 tofautitofauti nasehemu nyingine.Kingine nimevutiwa na Siberia na njia ile ya reli urefu wake na jinsi walivyo anza kuijenga kwa taabu miaka ile.Pia nimepitia kuhusu Teknolojia yao kwa mambo ya kijeshi ama kwa hakika jamaa wamepiga hatua haswa,nimeona jinsi walivyo jibidisha kuhusu ndege vita SUKHOI-27 mpaka SUKHOI 35 hawa jamaa wapo mbali sana.Natamani siku moja nikatembee Siberia ila baridi la huko sijui nikalipigie "KAMBI" wapi.

Ahsante tena kwa ufafanuzi Dotworld
Mkuu Jidu nchi ya Russia ndio nchi kubwa kuliko zote duniani! - hebu angalia kwenye ramani kwa ukubwa

Map2000.jpg

​


Hii screenshot ni kwa mujibu wa Google Maps

GDlimsd.png
 
Mkuu Jidu nchi ya Russia ndio nchi kubwa kuliko zote duniani! - hebu angalia kwenye ramani kwa ukubwa

Map2000.jpg

​


Hii screenshot ni kwa mujibu wa Google Maps

GDlimsd.png
Aisee hii kiboko!yaani kwa ukubwa wa nchi husika ila haiendani na idadi ya watu waliopo nchinin mwao ni ndogo kuliko india na Uchina!
 
Back
Top Bottom