Hakuombi hela anakukuomba wewe.
Una umri gani kushindwa kuelewa saikolojia za wanawake?
Mwenzako hapo anataka relation irejee baba.
Hiyo aliyotumia ndiyo 'njia kuu' ya mwanamke kutongozea.
Mwanamke yeyote ukisikia kirahisi rahisi tu anakwambia... 'Nikopeshe hela', sijui 'naomba hela'... elewa kuwa huo ni mtego wa simba umetupiwa na ukiukwepa unastahili tuzo la kombe.
Utakopwa na hulipwi, mpaka akili zikusogee na umkidai ndo anachokitaka msogeleane karibu aitathimini mihemuko yako



.
Hana shida ya hela wala nini huyo,
za kuambiwa changanya na zako mwanawane.