[emoji23][emoji23][emoji23]kweli kufa kufaanaAchana nae huyo mambo yameshamuharibikia,karibu kwangu please,karibu PM
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Amsaidie Nini ..huyo mwanaume angekuwa mzima Wala asingemkumbuka huyo Dada..kwanini abebe mizigo ya huyo mpuuzi...Uangaike na madawa apone na bado akuache kwakua hakuwai kukupenda Tangu mwanzo.Kama unampenda kaanae chini umuulize Nini tatizo na ikiwezekana msaidie.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Achana nae huyo mambo yameshamuharibikia,karibu kwangu please,karibu PM
Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
Ashakuwa option mara mbiliEndelea na life lako bi dada. Kupanga nu kuchagua, usikubali kuwa option.
Sent from my SM-G955U using JamiiForums mobile app
Haina haja kulipa baya kwa baya, Kama angekuwa serious kwa muda wote huo walioachana asingekubali kumvulia nguo.....Ila kwasasa wasaidiane tu.Amsaidie Nini ..huyo mwanaume angekuwa mzima Wala asingemkumbuka huyo Dada..kwanini abebe mizigo ya huyo mpuuzi...Uangaike na madawa apone na bado akuache kwakua hakuwai kukupenda Tangu mwanzo.
Kumsaidia mtu katika matatizo yake especially male Sio guarantee kuwa eti atakujali nakukupenda...No
Mkuu Ni kweli haitakiwi kulipa baya kwa baya..lakini huyo mwanaume Sasa anamanufaa gani kwa huyo dada ata akisema amuoe saiv...Huyo dada atakubali?Haina haja kulipa baya kwa baya, Kama angekuwa serious kwa muda wote huo walioachana asingekubali kumvulia nguo.....Ila kwasasa wasaidiane tu.
Sawa.Mkuu Ni kweli haitakiwi kulipa baya kwa baya..lakini huyo mwanaume Sasa anamanufaa gani kwa huyo dada ata akisema amuoe saiv...Huyo dada atakubali?
Kama anamsaidia amsaidie Kama rafiki tu....Sio Kwamba anatarajia kitu kutoka kwake especially upendo
Mitano tena iligoma πππKweli Haa πππ πππ
Tanzania Ni Tajiri
Umeachana Naye Miaka Miwili Akakuita Ukaitikia Wito
Akachukua Room Nawe Ulikuwa Unakwenda Kutekeleza Mitano Tena!!! Bahati Mbaya Ukakutana Na Dead Penis
Jiongeze Kidogo Fanya Maisha Kuwa Rahisi
Umemuuliza Hakujibu Analia Tu. Achana Naye Huo Ni Mzigo, Kuendelea Naye Unapoteza Muda
Cha Kufia Nini? Achana Naye Usihangaike
Njoo PM