Kma mtatumia mafuta ya ndege angalieni vizuri kwani wale wanaotumia makoroboi na vibatari na jamii nyingine zinazotumia mafuta ya taa vinaweza kuruka kama ndege,mshangae asubuhi au umeshtuka usingizini unakutana na kibatari kinapiga doria juu ya chumba ulicholala,au jiko la mchina linapepea juu na sufuria la maji ya kuoga sijui utalituaje chini