KUTATABHETAKULE
JF-Expert Member
- Apr 2, 2012
- 5,456
- 5,462
Wanamchezea au anajichezea mwenyewe! Hajui hata kinachiendelea nchini, anawaza dela la kuvaa kesho!Huyu mama kuna kitu watu wanamchezea asipokua mkali jahazi linaweza kwenda kombo
Hakuna anaemchezea ni ukilaza wake tu hajielewiHuyu mama kuna kitu watu wanamchezea asipokua mkali jahazi linaweza kwenda kombo
Hawa watu ndo maana magufuli alikuwa anawarumbua ;naona mama anazididiwa na hawa mapaka shumeMamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) imetangaza kusitishwa kwa bei mpya za mafuta zilizotangazwa jana ambazo zilipaswa kuanza kutumika leo tarehe 1 Septemba.
Serikali imeelekeza bei za mafuta za mwezi uliopita kuendelea kutumika.
======
Serikali imeelekeza EWURA kusitisha bei mpya za mafuta zilizopaswa kuanza kutumika leo Septemba 01, 2021 na zile ambazo zilikuwa zinatumika mwezi Agosti ziendelee kutumika
Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa EWURA, Godfrey Chibulunje amesema, "Serikali imeunda Timu Maalum kwa ajili ya kuangalia bei zinavyopangwa na viashiria mbalimbali vinavyosababisha bei iendelee kwenda
Ameongeza, "Bei za zamani zitaendelea kutumika mpaka pale Timu Maalum ambayo imeundwa na Serikali kupitia na kutoa majibu"
Kwani wapinzani ndo walipendekeza mafuta yapande nanyi sasa mmeona ni hapana ibakie bei ileile ya august?Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) imetangaza kusitishwa kwa bei mpya za mafuta zilizotangazwa jana ambazo zilipaswa kuanza kutumika leo tarehe 1 Septemba.
Serikali imeelekeza bei za mafuta za mwezi uliopita kuendelea kutumika.
======
Serikali imeelekeza EWURA kusitisha bei mpya za mafuta zilizopaswa kuanza kutumika leo Septemba 01, 2021 na zile ambazo zilikuwa zinatumika mwezi Agosti ziendelee kutumika
Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa EWURA, Godfrey Chibulunje amesema, "Serikali imeunda Timu Maalum kwa ajili ya kuangalia bei zinavyopangwa na viashiria mbalimbali vinavyosababisha bei iendelee kwenda
Ameongeza, "Bei za zamani zitaendelea kutumika mpaka pale Timu Maalum ambayo imeundwa na Serikali kupitia na kutoa majibu"
kazi iendeleeMamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) imetangaza kusitishwa kwa bei mpya za mafuta zilizotangazwa jana ambazo zilipaswa kuanza kutumika leo tarehe 1 Septemba.
Serikali imeelekeza bei za mafuta za mwezi uliopita kuendelea kutumika.
======
Serikali imeelekeza EWURA kusitisha bei mpya za mafuta zilizopaswa kuanza kutumika leo Septemba 01, 2021 na zile ambazo zilikuwa zinatumika mwezi Agosti ziendelee kutumika
Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa EWURA, Godfrey Chibulunje amesema, "Serikali imeunda Timu Maalum kwa ajili ya kuangalia bei zinavyopangwa na viashiria mbalimbali vinavyosababisha bei iendelee kwenda
Ameongeza, "Bei za zamani zitaendelea kutumika mpaka pale Timu Maalum ambayo imeundwa na Serikali kupitia na kutoa majibu"
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hatuna serikali aisee, ni bora tuongozwe na Taliban kuliko hii serikali tuliyonayo
Niwekee seat ya nyuma tafadhaliKuna usafiri bure wa kwenda Kabul, vipi unahitaji kwenda huko?
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]Akiupiga mwingi huwa hakuna kapdf...
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Hatuna serikali aisee, ni bora tuongozwe na Taliban kuliko hii serikali tuliyonayo
Yale yale ya tozoNawaza tu bei mpya ilishaanza kufanya kazi
Ebu tuone kesho itakavyokuwa
Ila hii nchi hii ni ngumu sana
Ishakula kwako kama tozo tuPambafu sana. Nimejaza mafuta ya 40000 leo na nikapata lita 16 tu. Wasitisha saa ngapi??
Niwekee seat ya nyuma tafadhali
Hivi unawafahamu vizuri hao viumbe au unaongea tu?
Ni kweli serikali haipo Mr.Q wala si mjinga.Jitafakari.Inakuwaje bei mpya ya bidhaa muhimu kama mafita inatangazwa rasmi na taasisi EURA eti serikali haijui.Nani mwenye mamlaka ya kupandisha bei ya bidhaa yoyote hapa nchini bila idhini au ridhaa ya serikali.A c h a u j i n g a