Mnahangaika na mlipo angukia! Si mlipojikwaa? Kwa taarifa yako hayo ni matokeo ya madaraja na mindege isiyofuata taratibu. Bahati yetu tumemkuta mama anapangua kimya kimya bila kumtaja aliyesababisha. Ila maumivu lazima tuyapate wote.Hatuna serikali aisee, ni bora tuongozwe na Taliban kuliko hii serikali tuliyonayo
Nani tena tulisha Kataa mambo hayo.🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 wa vichokochoko
Hamna hata ka-pdf kalikotolewa?
Akili ya "floats' za tigo, remba tu mda utawadiaMnahangaika na mlipo angukia! Si mlipojikwaa? Kwa taarifa yako hayo ni matokeo ya madaraja na mindege isiyofuata taratibu. Bahati yetu tumemkuta mama anapangua kimya kimya bila kumtaja aliyesababisha. Ila maumivu lazima tuyapate wote.
Akikujibu nitagHivi unawafahamu vizuri hao viumbe au unaongea tu?
Hata hizo ziko juu. Wangalie Zambia, Rwanda Malawi bei zikoje? Na mafuta yao hupita Tanzania. Hawa ni wezi!! Ewura ni yakuvunja. Yaani mafuta hupanda kwa Tanzania tuu kwenye soko la dunia??Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) imetangaza kusitishwa kwa bei mpya za mafuta zilizotangazwa jana ambazo zilipaswa kuanza kutumika leo tarehe 1 Septemba.
Serikali imeelekeza bei za mafuta za mwezi uliopita kuendelea kutumika.
Akiwa kimya mnasema, akizungumza mnasema! Acheni makasirikoAmeanza kujichetua
Hivi EWURA ndio waliongeza kodi kwenye mafuta?Hata hizo ziko juu. Wangalie Zamnia, Rwanda Malawi bei zikoje? Na mafuta yao hupita Tanzania. Hawa ni wezi!! Ewura ni yakuvunja
Tapanyatapanya ya Mwendachato inawasukuma kukurupuka kutafuta pesa hovyohovyo!Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) imetangaza kusitishwa kwa bei mpya za mafuta zilizotangazwa jana ambazo zilipaswa kuanza kutumika leo tarehe 1 Septemba.
Serikali imeelekeza bei za mafuta za mwezi uliopita kuendelea kutumika.