Usiogope mkuu iko siku na sisi watoto wa wakulima tutapata share yetu ya mkate huu wa taifa , by the way kama na wewe una idea ya maswali please PM yako ni muhimu
masebu ndio anayeamua au bodi,ishi kwa imani na kupambana mengne yote muachie mungu,kuna rafk yangu alikaa mtaani miaka 3 mpaka akaanzisha biashara ya mahnd,lakin siku moja akabahatka akapata job bot.Sasa amepanda cheo,usiogope