Ewura mmeshindwa kupunguza bei ya mafuta!!! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ewura mmeshindwa kupunguza bei ya mafuta!!!

Discussion in 'Habari na Hoja mchanganyiko' started by Pdidy, Nov 1, 2008.

 1. Pdidy

  Pdidy JF-Expert Member

  #1
  Nov 1, 2008
  Joined: Nov 22, 2007
  Messages: 33,466
  Likes Received: 5,708
  Trophy Points: 280
  Hivi nyie ndugu hawa watu wamekekwa kutuibia tu au ndio mtaji wa ccm 2010,ukienda kwenye bili za umeme wanakata pacent 1,
  ukija kwenye mafuta wanashabikia kweli kwenye kupandisha
  bei hivi sasa bei ya mafuta imeshuka asilimia 54 na serikali na hawa
  manyagunyangu wanaona na wanajua,,majuzi atio kamesimama
  kaboci chao kadai tunawapa wiki moja kupunguza mafuta y??????
  Mafuta yameshuka yana miezi miwili sasa huyu kunguru anataka kushusha ndani ya wiki moja anaona watanzania mapunda kweli
  nyie watu wa ewura komeni na acheni kucheza na maisha ya watanzania hata kama ni sehemu yenu ya kupatia riziki tuwaheshimu na kuwasaidia watanznaia popote
  na si kuwagandamiza kama mnavyodfanya
  mungu awape utisho na soon watanzania watachoka na kuamua kuishi wanavyotaka sijui mtakula wapi
  wenu:mtakula milungula mpaka lini nasikia tabia yenu kupita kwenye vituo na kuomba ten per mtu asipunguze bei hamuoni mnawanyima haki watanania jamani nyie watu hamna aibu
  mtanzania halisi
   
Loading...