Ewe unayeshangilia wenzako wakitumbuliwa

Azizi Mussa

JF-Expert Member
May 9, 2012
9,188
7,490
Wakuu nawasalimu sana!

Nikirudi kwenye mada, kuna watu maelifu kwa maelifu wanaoshangilia watu waliofanya amma ubadhirifu au uzembe wakitumbuliwa, ila kabla ya kushangilia ni bora kila mmoja wetu akatafakari kwanza yafuatayo;
1. Je! mimi sio mwizi? sijawahi kuiba na sina mpango wa kuiba amma mali ya umma au hata ya jirani! kama jibu ni ndio shangilia kama jibu ni hapana inamisha kichwa chini.

2. Jiulize wewe sio mzembe! kama sio shangilia.Kama nawe mzembe tafakari kabla ya kushangilia.

By the way ninachosema ni kwamba ni bora ya kujipima mwenyewe kabla ya kupima wenzako hasa kwanye mambo hasi.
 
Back
Top Bottom