Mapenzi!
Mwokozi aniepushie haya mie yasinitokee....................maana siwezi jua nitakuwa na hali gani na nitachukuliaje hilo jambo...........aamen!
Wewe unataka watu wajadili nini? MMU ulitaka ukute nini? Kuna majukwaa kibao kama unataka siasa fuata jukwaa la siasa, au elimu, au kazi na mengne kibao nenda sehemu husika
Usije ukawamaliza wadogo zako wote na mwisho ukaanza kuwaza kumleta mama.....Namleta mdogo wangu mwingine ili azae naye tena