Eiyer
JF-Expert Member
- Apr 17, 2011
- 28,259
- 20,920
Hakuna ubaya kama utajiuliza hii;
'
Umeolewa na mume uliekua unamsaka kwa muda mrefu saaaana,na siku alipokuoa ulifurahi sana na unadhani hukuwahi kufurahi kama siku hiyo.
'
Mumeo ni handsome na ana pesa kisawasawa,na unaamini unawapeleka puta wanawake wenzio,kwani una mume handsome na ana pesa kama Waren Buffet!!
'
Kwa kuwa mumeo ana pesa na amekufungulia saluni kali sana ya kike na alhamdulilahi wateja nao kibao,si una jina kubwa mjini bana!!
'
Baada ya saluni yako kulipa ukaona sio mbaya ukamchukue mdogo wako wa kike hukoooo kwa dingi na maza.
'
Mdogo wako kufika mjini na kupata sabuni ya mujini taratibu akaanza kung'aa na kuanza kukufunika.
'
Ghafla ukaanza kuhisi ukaribu wa mumeo na mdogo wako si wa kawaida,na hiyo ni miezi sita tangu mdogo wako aje town.
'
Ukashindwa kufuatilia kwa karibu kwa kuwa wewe ni mjamzito wa miezi 7.
'
Ulipojifungua na miezi miwili kupita ikabidi uanze kufuatilia ukaribu wa mumeo na mdogo wako kwani ukaribu huo unazidi kushika kasi.
'
Ndipo ukagundua kuwa mumeo ana mahusiano na mdogo wako,na sio hapo tu,mdogo wako ana ujauzito wa mumeo wa miezi mitatu.
'
Ulipomuuliza mumeo akakiri kuwa na mahusiano na mdogo wako,lakini akakuambia umshawishi mdogo wako akaitoe mimba hiyo kwani ni aibu kwa familia yenu kwa kuwa nyote mtakua mmezaa na mtu mmoja na watoto wenu watachanganyikiwa wakija kujua baba yao mmoja.
'
Kisha akakuahidi kutokukusaliti tena.
'
Ewe mwanamke utafanyaje?