Ewe Mwanamke, Siri ya mmeo iweke kibindoni

Ewe Mwanamke, Siri ya mmeo iweke kibindoni

fimboyaasali

JF-Expert Member
Joined
Jan 14, 2011
Posts
8,606
Reaction score
8,264
Ewe mwanamke sikia hii, siri za mmeo ziweke kibindoni, kwamba ni malaya sana, unamfumania siku zote, kwamba kitandani ni dhaifu, kwamba ni muongo, kwamba huwa anajinyea hovyo, kwamba hana kazi ya maana, kwamba kipato chake kidogo, na dosari zingine zozote, usizitoe nje.

Kaa na mmeo, ongea nae. Tafuteni ufumbuzi kwa pamoja, mjenge nyumba yenu. Ndivyo Mungu anavyotaka
 
Sijui ni kwanini utoe siri za ajuae siri zako!
 
Wenzio wanaongea ndo maana wanaishi miaka mingiii

Me makoromeo yanajaaa tuuu hamuongeii mnapata machangamoto kibaaooo .... talk talk talk
 
Mpaka leo hujui kuwa siri ni ya mmoja? Wanawake ni waongo, wabinafsi, wahovyo, wabaya, wauaji, wazinzi, wezi wa pesa zetu, watu feki, wasio na huruma, wasio mpenda Mungu, wahaini, wasioaminika, wasiofaa, wenye mawenge, wakurupukaji, wapenda sifa, watia huruma na wenye roho mbaya kama rafiki yao shetani, ndo maana walipiga nae story sana na wakaelewana. Achana na hawa viumbe.​
 
LAzima uongee ili upunguze machungu laasivyoo utakufa mapema maisha nikuongea ukweli usaidike . Maana hata yeye anakusema kijiweni. Tusemane tuishi japo tuangalie na mahali mie mume wangu nilikuwa nimemteua mtu wakumuambia kila kitu
 
Kama mkeo ni mswahili mswahili, hajitambui na hana cha kufanya zaidi ya kukaa barazani kuongea. You're doomed.
 
Kuna mambo ya kuongea na mengine si ya kuongea even kwamba wanawake wanaongea sana.

Nilichogundua ni kwamba ya siri ndiyo wanaongea na ya hadharani ndiyo wanayaficha.
 
Kuna mwingine atatumia udhahifu wako wa kumfichia ujinga wake kuendeleza zaidi....ukiongea itakusaidia kuyatoa moyoni na kumpuuzia asiendelee kukuumiza.....

Kikubwa sema kwa watu wako unao waamini ..zaidi wa familia yako sio marafiki mana siku mmepishana tu kidogo umekwisha.
 
Mpaka leo hujui kuwa siri ni ya mmoja? Wanawake ni waongo, wabinafsi, wahovyo, wabaya, wauaji, wazinzi, wezi wa pesa zetu, watu feki, wasio na huruma, wasio mpenda Mungu, wahaini, wasioaminika, wasiofaa, wenye mawenge, wakurupukaji, wapenda sifa, watia huruma na wenye roho mbaya kama rafiki yao shetani, ndo maana walipiga nae story sana na wakaelewana. Achana na hawa viumbe.​
uliyosema sio wote wana tabia hizo
 
Kuna mwingine atatumia udhahifu wako wa kumfichia ujinga wake kuendeleza zaidi....ukiongea itakusaidia kuyatoa moyoni na kumpuuzia asiendelee kukuumiza.....

Kikubwa sema kwa watu wako unao waamini ..zaidi wa familia yako sio marafiki mana siku mmepishana tu kidogo umekwisha.
sio kweli
 
Back
Top Bottom