Ewe mwalimu wa sayansi angalia jina lako hapa

zimwilachi

Member
Joined
Oct 22, 2016
Posts
40
Reaction score
23
Haya kumekucha sasa walimu wa Sayansi na Hesabati!
 
Attachments

Hii ni orodha tu wala hawajasema kama wamepangiwa au watapangiwa vituo lini!
 
Wangewachukuwa tu na wa mwaka 2016 mbona wapo tu kitaa, na muda ndo huu
 
Wajinga ndio waliwao, tatizo watanzania wengi kufikiri ni zero kabisa.
Hivi idadi ya vijana wenye sifa waliotuma maombi haijatimia 4000 ambayo ndiyo idadi waliyoisema mara nyingi?, na kama walitimia kipi kilichowazuia kuajiri hao waliotuma?.
Akili za kuambiwa changanya na zako.
Hapo wanasogeza mambo mbele, na mwisho mtaambiwa wait for the budget to come.
 
True dat ukipiga mahesabu ya majina yamefika 1462+1460+172+169=3300 ivyo upungufu 700 serikali wanatudanganya ila uongo auishi milele
 
M

Tena yawezekana wametoa majina machache ili tu ionyeshe waliotuma bado hawajatimiza idadi pendwa wapate kuwazuga kiurahisi.
We unaweza amini vipi kuwa vyuo vikuu na vya kati vilivyojazana Tanzania vishindwe kufeed idadi ya wasaka ajira serikalini angau elfu 4 huku tunawajua vijana wengi tu hawako tayari kuajiriwa na private inst. wakati serikalini kuna nafasi.
 
Mtoto akiw analia unamdanganya kwa pipi ili atulie kdg kisha unamwambia subir nitakuletea gar bas maisha yanaendelea kusonga.
 
Back
Top Bottom