Ewe mke au mme jifunze hili litakusaidia

Ewe mke au mme jifunze hili litakusaidia

Unaongea tu sababu haupo huko .

Ogopa mtu mkimya.

Sent using Jamii Forums mobile app
Ivi Mumeo, mmefunga ndoa... Umechukua Pesa bila kumtaarifu , umeenda kulipia Kodi ,, kajua. Hajakuambia , umeshakubali kua ulichukua.

Kuna LA kuwaza mpaka ufikirie kukimbia mji???????

Wapo wanaume mabahiri Jeuri, ambao ili muende sawa lazima nawewe uonekane kama mwenye maamuzi linapokuja suala LA maendeleo yenu.

Naona Hofu NI matokeo ya 'Duka langu nilangu '... Sasa hapo anaweza, kachakua hela yanmtu, kuwekeza kwenye duka lake binafsi, .....

Aaahhhh bado hata sioni sababu ya kukimbia mji.

Ingekua nimimi....kama umenisaliti naumejua nmejua, weee usisubiri ukimya wangu, ,,Kusanya tu vilivyo vyako Sepa.

Lkn kwa case kama hiyo. Wala hata tusingefika huko, sababu angeniambia NINGEMPA TU, si ni mke wangu????kwann sasa nisimpe ?
 
Unapozua Jambo la mgogoro kwenye mapenzi...muathirika huwa tayari ameshachukua hatua...anapolalamika huwa Ni swala la muda tuu

Inapotokea Hali ya kuzozana au majibizano,huwa Ni hatua njema...kwasababu huanika mabaya yote ambayo muathirika amenuia...na mengi huwa Ni kwa kusukumwa na hisia(emotions)...katika kuongea au kubadilishana maneno,muhusika polepole anaanza kutambua uhalisia wa Jambo na kufanya maamuzi sahihi...(time heals pia tusisahau)

Anapokaa kimya Kama alivyosema mleta uzi...inakua hatari!!!
Uamuzi unakua wa mtu mmoja Tena ambao umesukumwa na hisia

Ndo hapo unasikia mtu anafunga mlango anamwaga petroli anaangamiza familia yote pamoja na watoto na yeye mwenyewe...au nawachinja wote na yeye kujitoa uhai

Nashauri...kweli kukaa kimya inamkomesha aliekosea...lakini tusikae kimya Bora kuongea kuyamaliza

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwangu ilikua Ada ya mtoto wetu pamoja
Ilizua mgogoro ambao daah Basi tu.
Pesa[emoji45]
Ivi Mumeo, mmefunga ndoa... Umechukua Pesa bila kumtaarifu , umeenda kulipia Kodi ,, kajua. Hajakuambia , umeshakubali kua ulichukua.

Kuna LA kuwaza mpaka ufikirie kukimbia mji???????

Wapo wanaume mabahiri Jeuri, ambao ili muende sawa lazima nawewe uonekane kama mwenye maamuzi linapokuja suala LA maendeleo yenu.

Naona Hofu NI matokeo ya 'Duka langu nilangu '... Sasa hapo anaweza, kachakua hela yanmtu, kuwekeza kwenye duka lake binafsi, .....

Aaahhhh bado hata sioni sababu ya kukimbia mji.

Ingekua nimimi....kama umenisaliti naumejua nmejua, weee usisubiri ukimya wangu, ,,Kusanya tu vilivyo vyako Sepa.

Lkn kwa case kama hiyo. Wala hata tusingefika huko, sababu angeniambia NINGEMPA TU, si ni mke wangu????kwann sasa nisimpe ?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ivi Mumeo, mmefunga ndoa... Umechukua Pesa bila kumtaarifu , umeenda kulipia Kodi ,, kajua. Hajakuambia , umeshakubali kua ulichukua.

Kuna LA kuwaza mpaka ufikirie kukimbia mji???????

Wapo wanaume mabahiri Jeuri, ambao ili muende sawa lazima nawewe uonekane kama mwenye maamuzi linapokuja suala LA maendeleo yenu.

Naona Hofu NI matokeo ya 'Duka langu nilangu '... Sasa hapo anaweza, kachakua hela yanmtu, kuwekeza kwenye duka lake binafsi, .....

Aaahhhh bado hata sioni sababu ya kukimbia mji.

Ingekua nimimi....kama umenisaliti naumejua nmejua, weee usisubiri ukimya wangu, ,,Kusanya tu vilivyo vyako Sepa.

Lkn kwa case kama hiyo. Wala hata tusingefika huko, sababu angeniambia NINGEMPA TU, si ni mke wangu????kwann sasa nisimpe ?
Issue inakuja nimetoa kutoka kwenye ac ambayo anajua siijui namba ya sir...na nilichukua sababu nilimuomba hela akasema hana
Alafu kuchek balance anahela pia katuma kwa ndugu zake Kama 1m hivi ikabidi nichukue
Pia anaonyesha hajal lakini akikaa mwenyewe unaona kabisa nimtu anaeumia nimekopa nimemrudishia lkn naona anaonyesha furaha ya kiunafiki
Huyu asijeagiza tu gunia 2 za mkaa
 
Hapana, haina haja ya kua Hofu kiasi iko.

Jambo pekee linalotuumizaga sisi wanaume mpaka kufikia maamuzi mabaya ni Usaliti tu.

kama umechukua Kuhonga jamaa yako Fulani (Mchepuko ) ,ILO NI KOSA.

Kama umechukua kulipia Kodi, basi usiwe na hofu, atanuna lkn mwisho atakubaliana nahali , Mpe K, mpe K, mpe K . mpe K , mpe K + kumsifia visifa visifa vya jinsi anavyojua kukukaza mpaka Anyooshe mikono juu...utashagaa anajirudi mwenyewe.

So far sijaona sababu yawewe kuwaza kukimbia.

Kwan mmeshazaa ?????
 
natumain mko wazima
Mi Anna pita leo nimewamic nimeamua ni share na nyie jambo moja la msingi kwenye ndoa

Ewe mme usitumie nguvu nyingi Sana kumuazibu au kumgombeza mkeo anapokosea njia nzuri kaa kimya

Mfano mkeo kachit hakikisha amejua kua umefaham ikibidi Kama unakifua mfumanie kabisa alafu usimuazibu Yan usimuulize wala kumgombeza jifanye haujui wala hujaona kitu alafu kua mchangamfu kupita kawaida

Nakuhakikishia mkeo atajiadhibu mwenyewe na hatarudia kufanya huo ujinga

Yan hakuna adhabu kubwa Kama kunyamaza kimya hata Kama unaumia kiac gan usimuonyenye ...muonyeshe furaha

Nakumbuka juzi kat hapa nilipata tatizo nikamuomba shemeji yenu Kama lak 2 akaninyima

Na anatabia hiyo mimi nikiwa na tatizo hanipi yan yeye hela zake kwa ajir ya ndugu zake tu

Mi nilikua nimebanwa kweli Kodi ya shop ikabidi nichukue kwenye ac yake kimya kimya bila yeye kujua

Mungu hata siku 3 hazikupita jamaa kajua akaniuliza nikakosa jibu nikaomba msamaha

Jamaa hakujibu kitu zaidi yakua kawaida tu dah!! nilikosa Aman siku 3 sina Aman sili vizuri nikaamua kuondoka home
kwenda kwa sister

Sister sikumwambia chochote nae alivyonifata akaniambia pesa zinatafutwa rudi nyumban na hakumwambia chochote dada

Tangu nirudi Sina Aman hapa natafuta mteja wa kununua duka Zima nisepe mbali sana

So haina haja ya kutumia nguvu nyingi muache mtu ajihukum mwenyewe

Hata kwa mwanaume anaechepuka haina haha ya kutukanana na michepuko ya Mume mwambie najua unatembea na fulan alafu kaa kimya timiza majukum yako ikibidi ongeza manjonjo kwa bed
Mtu akikukosea ukanyamaza kimya na ukaonesha furaha tu, unakuwa kama umemteka.

Psychologically unakuwa mwenye nguvu kubwa na nyingi kwake.

Kama ni mke umemfumania ana-cheat then ukakaa kimya, unaweza kuta amejifukuza mwenyewe home!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
acha kushauri ujinga, kuna dada alifumaniwa na munewe halafu mumewe hakusema kitu wala kumuadhibu alibaki kimya tu maisha yaendelee. Haikupita hata wiki mke alijinyonga

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ukimya ama kutokuwa na good communication unagongelea msumari
Binafsi mie nimekuwa mkimya pia,yaani nakaa tu kimya mtu afanye anavyoona.
Ila kusonga mbele ni dakika 5

Sent using Jamii Forums mobile app
Pole jaribu kubadilika ...kukaa kimya Ni kuamini kuwa njia ya kutatua Jambo Fulani Ni moja tuu...lakini pia kuaweza sababisha kujihukumu kupita kiasi

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Back
Top Bottom