Ewe binti yangu mpendwa, pitia hapa ujitambue

Ewe binti yangu mpendwa, pitia hapa ujitambue

Ok9

JF-Expert Member
Joined
Oct 5, 2013
Posts
4,556
Reaction score
4,162
Lazima tuwajulishe watoto wetu wasichana kuwa, katika maisha yao kuna nguo kuu nne za kuvaa.

Nazo ni;
1) Sare ya shule
2) Joho la Graduation
3) Gauni la Harusi
4) Maternity dress (Nguo ya mjamzito)

Hata hivyo, kama ukiruka ya kwanza, hutapata nafasi ya kuvaa ya pili.
Usikimbilie kuvaa ya nne, eti kwa sababu mtu amekuahidi ya tatu.
 
Umetisha mkuu..short and clear..hata kilaza ataelewa
 
ngoja waje mabinti zako wa mjini, mie nimepita kuchungulia tu ulitaka waje wafanyaje, kumbe ndio hayo, duuuuuu
 
Vipi kuhusu vijana wakiume nguo ya kwanza na ya pili na suti ya harusi haviwahusu au?! nauliza tu,,,
 
Lazima tuwajulishe watoto wetu wasichana kuwa, katika maisha yao kuna nguo kuu nne za kuvaa.

Nazo ni;
1) Sare ya shule
2) Joho la Graduation
3) Gauni la Harusi
4) Maternity dress (Nguo ya mjamzito)

Hata hivyo, kama ukiruka ya kwanza, hutapata nafasi ya kuvaa ya pili.
Usikimbilie kuvaa ya nne, eti kwa sababu mtu amekuahidi ya tatu.

Ni meseji nzuri, lkn wako huko Instagram na fesi buku sijui kama ujumbe utawafikia
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom