jay-millions JF-Expert Member Joined Apr 30, 2015 Posts 4,589 Reaction score 11,844 Aug 28, 2022 #41 kcamp said: Bora hizo ,kama budget ndogo angalia TCL na Hisence Click to expand... Na skyworth je?
jay-millions JF-Expert Member Joined Apr 30, 2015 Posts 4,589 Reaction score 11,844 Aug 28, 2022 #42 BABA SANIAH said: Nina tv kampuni ya arboder Ina mwaka wa nne Ina gonga mzigo kinoma,madogo wakitoka skonga holiday,June ma December inakoma,na bado fresh tu. Kama vipi mwana chukua arboder you will never walk alone๐๐๐๐ Click to expand... Vipi picha ina viwango au alimradi tu? Ni android au kawaida
BABA SANIAH said: Nina tv kampuni ya arboder Ina mwaka wa nne Ina gonga mzigo kinoma,madogo wakitoka skonga holiday,June ma December inakoma,na bado fresh tu. Kama vipi mwana chukua arboder you will never walk alone๐๐๐๐ Click to expand... Vipi picha ina viwango au alimradi tu? Ni android au kawaida
BABA SANIAH JF-Expert Member Joined Oct 20, 2013 Posts 4,777 Reaction score 6,266 Aug 28, 2022 #43 jay-millions said: Vipi picha ina viwango au alimradi tu? Ni android au kawaida Click to expand... Iko njema kwelikweli,viwango vya Hali ya juu,uliza kwa wanaotumia arboder watakwambia,labda utaona Mimi nawafagilia
jay-millions said: Vipi picha ina viwango au alimradi tu? Ni android au kawaida Click to expand... Iko njema kwelikweli,viwango vya Hali ya juu,uliza kwa wanaotumia arboder watakwambia,labda utaona Mimi nawafagilia