Evvoli Tv

Mwasapile

JF-Expert Member
Joined
Apr 20, 2020
Posts
215
Reaction score
453
Habari ndugu wana JF!!
Mwenye uzoefu wa Tv zinaitwa Evolli anipe mawazo. Zipo vizuri au za kipuuzi
 
Evvoli ni kutoka Italy. Sio mchina.
China Wana assembly Tu kama iPhone.

Evvoli Kuna ya inch 43.
Smart TV
4k
Used 1 month
Bei 600,000
Maongezi yapo
Ipo Dar es Salaam
 
Evvoli brand nzuri sana na sio chinese mnavyofikiria,mtengenezaji wake ni italy na kuna vitu vingi anatengeneza kama majiko bora ya umeme,microwave,friji nk
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…