mwangalingimungu
JF-Expert Member
- Jul 29, 2013
- 1,301
- 733
Kwa asilimia angalau hamsini, inaashiria hivyo. Changanya na kauli ya Hans Poppe kwamba wao hawana malumbano na Yanga, Okwi akishindwa kesi itakuwa ni juu yake, na kwamba ndio maana hawajampa fedha yoyote, na ukweli kwamba hawakumchezesha Zanzibar hata kwenye dakika tano za mwisho....... hutakosa kusikia harufu ya kushindwa!Kwahiyo unahisi kuondoka kwake, kunaashiria Simba imekula kwao kwenye usajili wa Okwi?