Samandarojk Member Joined Sep 25, 2016 Posts 55 Reaction score 24 Aug 9, 2018 #1 Nimeikuta hii sehemu na kunishangaza, mtu anawezaje kununua kitabu kisichokuwa na maandishi ndani yake. Je! Ni jina la kitabu ndio liliowavutia wengi? Je! Ni mwandishi wa kitabu? View attachment 831160
Nimeikuta hii sehemu na kunishangaza, mtu anawezaje kununua kitabu kisichokuwa na maandishi ndani yake. Je! Ni jina la kitabu ndio liliowavutia wengi? Je! Ni mwandishi wa kitabu? View attachment 831160