Everything in our imaginations, exists!

Everything in our imaginations, exists!

Ni hivi kama kawa watu tunatofautiana,wewe uki imagine mungu yupo unaona yupo lakini ni kwako mwingine aki imagine hayupo, hayupo,unafikiri ni kwanini? Ni kwa sababu imagination haina limit ni wewe utakavyo tu kwahiyo iongoze pia kwa kutumia uhalisia
 
Natype kwa kutumia simu,ningeelezea kwa kirefu angalau lakini Ni shida
Hii mada ni nzuri ila namna ya kuielezea ikae kwenye njia salama isiochallenjika inakuwa ngumu kdg.
 
Salam wakuu..
Ukifikiria kwa kina,ukawaza Kana kwamba unatoka katika ulimwengu tunaoishi...mwisho kabisa utakutana na kiza,Giza zito.japo ni mawazo lakini hutaweza kuendelea mbele zaidi(hebu na wewe jaribu...ni kweli?)
Chochote anachokifikiria mwanadamu kiuhalisia ni Cha kweli kabisa,kipo.... chochote kile
Kwasababu haiwezekani ufahamu wa mtu kuwaza kisichokuwepo..haiwezekani hata kidogo na Kama huamini maana yake unajipinga wewe mwenyewe!!

Mfano katika suala la uwepo wa viumbe waliopewa jina Kama Aliens...wapo!!wanaishi,je inawezekanaje akili ya mwanadamu kuwaza kitu kisichokuwepo???? Haiwezekani!!
Usiwe mvivu wa kufikiri(situkani,ni tahadhari tu).......karibu
This will ultimately lead to a contradiction.

I can imagine not existing, totally. That is in my imagination.

Everything in my imagination exists.

Does that mean I do not exists?

And if I do not exist, how did I imagine not existing?

I can imagine a spoon existing. I can imagine a spoon nit existing.

If everything in my imagination exists, does this spoon exist or not?

Sent from my typewriter using Tapatalk
 
It existed, that's how you can not imagine unexisted?!!

I have no idea what you are talking about.

What do you meant by "it"?

"Unexisted" is not a word that describes anything, so naturally, I cannot imagine what that is.

Sent from my typewriter using Tapatalk
 
Salam wakuu..
Ukifikiria kwa kina,ukawaza Kana kwamba unatoka katika ulimwengu tunaoishi...mwisho kabisa utakutana na kiza,Giza zito.japo ni mawazo lakini hutaweza kuendelea mbele zaidi(hebu na wewe jaribu...ni kweli?)
Chochote anachokifikiria mwanadamu kiuhalisia ni Cha kweli kabisa,kipo.... chochote kile
Kwasababu haiwezekani ufahamu wa mtu kuwaza kisichokuwepo..haiwezekani hata kidogo na Kama huamini maana yake unajipinga wewe mwenyewe!!

Mfano katika suala la uwepo wa viumbe waliopewa jina Kama Aliens...wapo!!wanaishi,je inawezekanaje akili ya mwanadamu kuwaza kitu kisichokuwepo???? Haiwezekani!!
Usiwe mvivu wa kufikiri(situkani,ni tahadhari tu).......karibu
Ili kitu kiwepo kinahitaji sifa gani ?
 
Usitumie Nguvu nyingi kuwaza vitu bingine. Jiulize nafsi yako ilikuwa wapi kabla ya kuzaliwa? Itakwenda wapi banda ya kufa?. Naamini unauona mwanga wa Jua kila mara ebu waza tu Umbali wa jua na ulipo ni Mile ngapi na kawahi kufika na alipima kwa kutumia nini Joto lake?. Waza kiuhalisia tu kwani upo duniani ?.Hivi wewe ni Nani?. Nakuonya tu ukiweza kujibu haya maswali Lazima utapelekwa Milembe Hospital kwa Matibabu. Nakushauri anza kuangalia singeli za akina Meja kunta na Nyimbo za akina Nasibu Abdul. Mengine waachie Maaskofu na Mashekh.

Sent using Jamii Forums mobile app
hao maaskofu na mashekhe ndio hakuna kitu kabisa,ukiwauliza hayo watabaki kukujibu kinadharia tu,ukiwabana wanakupa vitisho tu kwamba utachomwa milele au utabanwa na kaburi hadi unye
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom