coockie monster
JF-Expert Member
- May 2, 2015
- 390
- 757
una umri gani kijanaa
kitaa huku wako wengi..vipi unawataka?
sina lengo la kuoaMkuu kweli maisha ya alone ni so boring mbaya zaidi ukiwa nchi za watu lakini kwa mujibu wa uzi wako wewe bado hujajua unataka nini. Siku hizi wadada wameelimika sana kuhusu masuala ya mahusiano hivyo just b open and straight forward kama unataka wa kula nae bata tu au mchumba. Nasema hivi coz kama unalengo la kumuoa huyo mtu hapo baadae then age matters a lot in relation asikudanganye mtu.
nani kakuambia natafuta mke??alafu usikichulie kitabu kua ndo kilakitu japo muhimu sana..yaani nisiwe katika mapenzi sababu ya kitabu?men japo nna umri mdogo lakini nimesurvive vingiAcha haya mambo dogo. Piga kitabu . Umri wako ni kitabu kwanza. Mahusiano ya me/ke bado. Weka kumbukumbu ya maneno yangu, after 8years nitafute . Siku hiyo tutaongea majuto na wala si mahusiano ya me/ke.
acha uoga weweVipi una nyumba ya kisasa?gari ya kifahari? una miliki biashara zipi kimataifa???
vipi kuhusu urefu wa pochi yako???????????????????????????????????????????????
Nadhani ungeweka hii CV ingesaidia sana kwa ninavyowafahamu wadada wengi wa humu
mkuu nimesema hivo sababu sasa iv nahitaji serius relation sababu kwa mda mrefu nimetulia sio kwakua nimekosa mwanamke ila nimekua nahitaji atleast serius thing sababu huko nyuma nilikua naonja onja tu..alafu hawa wadogo drama nyingi alafu i hate drama..Mkuu kweli maisha ya alone ni so boring mbaya zaidi ukiwa nchi za watu lakini kwa mujibu wa uzi wako wewe bado hujajua unataka nini. Siku hizi wadada wameelimika sana kuhusu masuala ya mahusiano hivyo just b open and straight forward kama unataka wa kula nae bata tu au mchumba. Nasema hivi coz kama unalengo la kumuoa huyo mtu hapo baadae then age matters a lot in relation asikudanganye mtu.
masai dada changamkia fursa yeroouna umri gani kijanaa
Nimekuja hapa sio kama kitaa hamna,ila nipate ambaye tutakaendana kidogo