Everyone deserves a brother like Augustino Polepole

mwehu ndama

JF-Expert Member
Joined
Nov 12, 2019
Posts
2,189
Reaction score
8,397
Jamaa ni Mfano halisi wa ndugu wa damu .Ukiwa na kaka au dada kama huyu unapaswa kutembea kifua mbele, hakika una malaika wako duniani..Sisi wengine tulishawahi kuingia kwenye misala mizito afu mabraza wakachimba kama filbert bayi.
 
Orodha ya wanaotakiwa kuliwa vichwa please.
Naomba aanze haraka sana kula vichwa,watanzania wanasibiri kwa hamu jamani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…