Everybody can have a soulmate

Hapo unasaka mchepuko!..

Ha Haaaa! sasa we huoni kwa majibu yake ni kuwa michepuko lazima iwepo? imagine umeoa/umeolewa na mtu ambaye si soulmate afu unampata itakuwaje??? Just kidding!
 
Popote ulipo nakupenda sana na najua unanipenda sana,huwa nakuwaza sana na napenda tuwe pamoja siku zote....
 
muwe makini kwa nijuavyo mimi kimfanyacho binadamu awe hivi alivyo sasa ni roho either "evil" or HOLY... na hakuna wakati wowote binadamu aka'remain as vacum lazima awe occupied na moja kati ya roho hizo ...
wasiwasi wangu unakuja wakati ukianza kumeditate na kukaribisha roho ya kuongea nayo waweza karibisha roho chafu mfano jini mahaba na mengineyo ikakuletea balaa maishani...
nawasilisha kwa nia njema ...
 

its not meditating its a signal transfer to your fellow soul outthere you trully love
 
Ikitokea ukaanza hilo zoezi la kuvuta hisia seriously, je inachukua muda gani kuona matokeo? isijekuwa muda mrefu hadi ukakata tamaa.

any period kama unampenda utamtafuta tu na huto jutia
 
vip kwa wale ambao hadisasa wana visicha/vivulana tayali, this method can b appld by them?
 

Sasa kama mapenzi ni natural phenomenon kwa nini kunakuwa na mafunzo mengi on how to do it?!!! mbona mtoto hafundishwi kunyonya?!!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…