mimi wangu sijui atakuwa wapi jamani
omg really????let me try
inawezekana ni true.....but watu wanaweza kusema umeanza ugua kichaa...bora ufanye hayo umejifungia chumbani peke yako....
jaribu kila siku kukaa mwenyewe sehemu tulivu ,ongea kwa kumaanisha na kuamini mf.popote ulipo nakupenda sana na najua unanipenda sana,huwa nakuwaza sana na napenda tuwe pamoja siku zote,feel what you are saying and trust me outthere kuna another soul ipo inasikia and one day utakutana nayo