Every time you touch me

Erotica miss you

Haya ni maneno ya kweli lakini mamito??
Haya mbona mie huya dedicati kwa papito tena wa kumoyo.
Mwaaaaaaah to the song, mwaaaaaaah to Diana, mwaaaaaah to Mwali.

Mie napita tu. :flock:
 
Last edited by a moderator:
Haya ni maneno ya kweli lakini mamito??
Haya mbona mie huya dedicati kwa papito tena wa kumoyo.
Mwaaaaaaah to the song, mwaaaaaaah to Diana, mwaaaaaah to Mwali.

Mie napita tu. :flock:
Unaenda wapi? May I come with you?
 


niseme nisisemeeeeeeeeeeeeeeeeeee
mwenzenu miiimi.......................
namdediketia aaaa .........................
huo wimbo...........................................
mwafdenge!
 
niseme nisisemeeeeeeeeeeeeeeeeeee
mwenzenu miiimi.......................
namdediketia aaaa .........................
huo wimbo...........................................
mwafdenge!

shemej u hali gan? Miss u sana
 
mi ningekuimbia tatizo huchelewi kusema nimemuimbia The Boss we unashika mapembe tu!ah!
unaniuziga saa nyingne basi tu!
mzima wewe lakini!
yaliyopita si ndwele dada, sahau mambo ya mwaka 47. I'm a new man now 🙂
 
shemej u hali gan? Miss u sana
we acha tu shemeji mimi miss yu miiiingi miiiingi mno!
bado upo upande wa kule juu ?manek mi hata sikuelewi siku hizi?hivi kweli si ulisema utafudi fasta tu yamekuwa haya ya kuhamia huko huko!
basi waambie wakazi wa huko waje wakudediketie huo wimbo natamanije sasa mtu akuimbie usikie raha!loh!
 
yaliyopita si ndwele dada, sahau mambo ya mwaka 47. I'm a new man now 🙂

ahahahahhahahhah mi love it being our utani uwe na amani my dear!nina code ya utani kwa kila rafiki yangu humu!
 

Mwali unapenda mapacha nini?
 
Last edited by a moderator:
Unaniharibia bana!
Yani wewe una nia ya kutongoza humu?
Nitamwandikia baba yako nimuulize kama ulikuja JF kuchangia mawazo au kutafuta mapenzi, ndio ukome! (source: my dear friend)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…