Every man has “man-up” moments

Every man has “man-up” moments

Hahahaaaahaaaaaa hakyananiii nimechekaaaa mpaka machozi... shemeji yako ndo kakutafsiria hivyo? Ahahahahaaaaaa wew ni chizi ujue nitakugawa bure ebu mito upite na huku jaman lol.

Ndio alinitafsiria hivyo mwaya baada ya mito kushindwa.

Aiseee hivyo tafsiri kiboko akyanani!! eti 'wanaune wanatakiwa wakue na watafute pesa sana kisha watuhonge sana, tena wasitafute visingizio katika kutupatia hela' teh teh teh!!!
 
Ndio hivyo, nawe si ulitoka kapa? Now you got it.
 
Hahahaaaahaaaaaa hakyananiii nimechekaaaa mpaka machozi... shemeji yako ndo kakutafsiria hivyo? Ahahahahaaaaaa wew ni chizi ujue nitakugawa bure ebu mito upite na huku jaman lol.

Ndio hivyo, nawe si ulitoka kapa? Now you got it.

Na kweli nilitoka kapa ndg yangu, so sina ujanja inabidi tu nikubali tafsiri yo yote nitakayoambiwa!!
 
Haya cute b alinilipa, nawe nilipe basi kwa kukutafsiria.
 
Hahaaaa haya weka hapa namba yako nikurushie tigopesa, sharti ni namba iwekwe hapa siyo kuleeeeeeeee chobis, teh teh teh

Sista sijakusikia kule kwenye uzi wa watu wa dar, cute b mwenzio karuka swali futi mia!! hata sikuamini macho yangu akyanani
 
Last edited by a moderator:

Tanze na namba kwanza 071119654332211355688909753321
Huo uzi uko wapi? Sijauona jamani.
 
Mmmh hiyo namba sasa!! ila kweli nimeona inasoma atoto, so nitakutumia usijali

Nimekumention utauona tu, we fuatilia mentions zangu utaibukia huko huko
 
Mwenzio kuona notifications sizioni mbe!! Ngoja nitumie pc ndio taziona.
 
Hahaaaa haya weka hapa namba yako nikurushie tigopesa, sharti ni namba iwekwe hapa siyo kuleeeeeeeee chobis, teh teh teh

Sista sijakusikia kule kwenye uzi wa watu wa dar, cute b mwenzio karuka swali futi mia!! hata sikuamini macho yangu akyanani
mito thanks aiseee, kumbe nilikuwa nime off notificstions, bora umenikumbusha aisee.
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Back
Top Bottom