Ni hatua nzuri kwa Tecno kwani simu zao zitazidi kufahamika kote ulimwenguni. Naomba niseme, simu kuwa reviewed na GSMARENA.COM haimanishi kuwa simu hiyo ni simu bora au ni brand bora kuliko zingine, gsmarena.com wanareview simu popular kulingana na wanavyozipata ko kwa miaka kadhaa nyuma huenda walikuwa hawazijui hizi Tecno. Sasa wanazipata ndo maana wameanza kureview.
Kuhusu Camon 11 au Phantom 8 ni simu za kawaida sana (kwa maoni yangu) Camon 11 haiifikii Camon CX ya Manchester City Edition kwa ubora ingawa ni ya zamani.
Kweli mm tecno user mzur san, lkn natumia zile flagships sio akina tecno spark au tecno n2. Hata samsung wana series ambazo ni mbovu km tecno tuu, kila brand ina flagship zake ambazo ndo the best.
Kuna jamaa mmoja aliingiaga kanisani akiwa na hiyo simu akasahau kuizima na alipopigiwa simu ikaita kwa ule wimbo wa Dar mpaka Moro dahh! ilikuwa noma.