Even a CEO Needs Hands

"if they tired" siyo kiingereza sanifu.
Ukikosolewa jambo usichukulie mashindano.
Jiulize au uliza wapi umekosea siyo kujibu kwa dharau au ujivuni.
Kuna siku insta kuna popoma lilinibishia kuhusu kiingereza,nikaliacha tu
 
Toa s kwenye need,acha ubishi
Duh! Hivi Kingereza mmejifunzia wapi? Okay nikupe elimu kidogo.

"Neno 'needs' ni sahihi kwa sababu linalingana na mtendaji katika sentensi, yaani 'a CEO' ambaye ni mtu mmoja (umoja). Katika Kiingereza, vitenzi vya wakati uliopo (present tense) kwa nafsi ya tatu umoja (he, she, it, au mtu mmoja kama 'a CEO') huongezewa herufi 's' au 'es' mwishoni. Kwa hiyo, 'Even a CEO needs hands' ni sahihi. Ukiondoa herufi 's' ukasema 'Even a CEO need hands', utakuwa umetumia kitenzi kisichoendana na mtendaji katika sentensi, jambo ambalo ni makosa ya kisarufi."
 
"if they tired" siyo kiingereza sanifu.
Ukikosolewa jambo usichukulie mashindano.
Jiulize au uliza wapi umekosea siyo kujibu kwa dharau au ujivuni.
Sijui kama huwa mnakaa na kusoma kwa umakini kabla ya comment. Haya mambo ndio huwa mnafanya tunadhalilika na mataifa jirani, kwa kuweka kingereza cha kuunga kwa kamba fupi-fupi.
 
Sivyo,acha kukariri
 
Kuandika broken ni swala moja, lkn kukosolewa na bado hauoni kosa ni swala jingine. Kiburi cha kipuuzi ni swala jingine pia.

Unatia huruma sana na kinyaa....
Sidhani kama kuna haja ya kuendelea kujibu, na kuanzisha ligi ambayo haina maana sio uungwana kwa waliostaharabika. Endelea na Broken yako mzungu wa Kichina. πŸ˜‚πŸ˜‚
 
kwanza umeandika broken english, kajifunze kwanza kiingereza au tumia kiswahili tu ueleweke
Leta utaalamu wako wa lugha sasa, iandike kwa usahihi, yawezekana kweli nimekosea, alafu nikawa sijui. πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Congratulations Aloyce. You really have a calling in BROKEN English and punctuation mistakes.
Now, it’s your turn to correct my quote. Perhaps you are more knowledgeable than I am.πŸ˜‚πŸ˜‚πŸ˜‚
 
Sijui kama huwa mnakaa na kusoma kwa umakini kabla ya comment. Haya mambo ndio huwa mnafanya tunadhalilika na mataifa jirani, kwa kuweka kingereza cha kuunga kwa kamba fupi-fupi.
Sawa mkuu.
Hicho kiingereza chako nakikubali Cha kuunga na kamba ndefu.
Acha tujadili mengine.
Tuna mengi sana ya kujifunza toka kwako tofauti na jambo hilo. Tusipoteze muda hapo.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…