Huyu hapa, yuko instagram na nadhani anajirekodi akiwa nje ya Tanzania. Ana mvuto kwa vile hana matusi kama Dangwa au MangeKimambi. Ni mrembo fulani ana lips za kunyonyea mshedede na sauti ya mahaba. Sijui nini kimemuingiza kwenye harakati.
View attachment 3546947