Wanajamvi please mchambueni huyu mwana mama .
1.Role yake ya mwanamke katkika jamii unamuonaje positive or nagative.
2.Uaminifu wake unaonaje ungependa upate mwanamke kama yeye ?
3.Hivi ni kweli wanawake huwa wanapenda mpaka kufa kweli
4.Naombeni tafahari mtaalam mmoja amuelezee huyu mwanamama kwa upana
View attachment 3465003