Hata mimi nashindwa kuelewa hapa, eti Arsenal iko pt 1 na timu kama AC Milan iko pot 2??Kigezo gani kimetumika kuiweka arsenal kwenye poti 1 ?
Ha ha ha ha mkuu pekua pekua utapata jibu.Kigezo gani kimetumika kuiweka arsenal kwenye poti 1 ?
Haya bana upekupeku nimeambulia japo kujiridhishaSeven-time European champion AC Milan dropped into the pot of No. 2 seeded teams after higher-ranked Arsenal eliminated Udinese in a playoff on Wednesday.
Haya bana upekupeku nimeambulia japo kujiridhisha
Kigezo gani kimetumika kuiweka arsenal kwenye poti 1 ?
Lakini Arsenal haijatwaa kikombe hiki hata mara moja. Performance ya AC Milan siku zote iko bomba sana hata last year, na wao ni 7 times winners. Arsenal ni ZERO winners!!Port 1 yenye timu nane inaijumuisha Arsenal kwasababu ya perfomance ya timu hiyo kwa miaka mitano iliyopita. Hii ni moja ya vigezo vilivyowekwa na UEFA yenyewe na sababu ingine ni kwamba Arsenal imekuwa ni moja ya timu hizo nane ambazo zimefunga magoli mengi kwenye mashindano hayo kwa muda wa miaka mitano iliyopita.
Arsenal licheza robo fainali mwaka 2004 dhidi ya Chelsea , 2009 dhidi ya Villareal ya Spain, fainali mwaka 2006.
Lakini Arsenal haijatwaa kikombe hiki hata mara moja. Performance ya AC Milan siku zote iko bomba sana hata last year, na wao ni 7 times winners. Arsenal ni ZERO winners!!
Mkuu wanajua hilo ,save energy yako kwa ajili ya baadae kidogo tukianza kuongelea kundi letu.Mkuu nimezungumzia "perfomance".
Umeongelea performance, nami nimeongelea the same thing.Mkuu nimezungumzia "perfomance".
Umeongelea performance, nami nimeongelea the same thing.
AC Milani ameshinda Scudetto last season.
AC Milan performance yake ktk UEFA Champions league last year ilikuwa juu zaidi hata ya Arsenal. Sasa sijui ni performance gani unaiongelea hapa ya Arsenal kuipiku AC milan
Utuaiwekaje timu inayostahili kuwa top see kwenye lower seed? Ama ndio hiyo FRENCH CONNECTION between profesa na Platini? Ha ha ha!!Basi tuseme Arsenal inabebwa kuwekwa port namba 1.
Arsenal nafikiri itapata moja ya wapinzani wafuatao.
Lyon, Valencia, Zenit St Petersburg, Dortmund na Napoli