Mkuu nahisi bingwa atatoka kundi A ama C.......
na kusema ukweli the fact dat england hawapo kwenye hii euro mie naona kama imepoooza mnoo as media za huko ndo huwagana kelele kibaoooooo now tungekua tushajazwa mambo kem kem na media zao as mpira wao uko kwa medias tu
siwapendi waingereza wanacheza soka la mdomoni sana hata WC 2010 sitaki waje Afrika
Si kwamba nafagilia kiwango cha soka cha England, I agree they are rubbish lakini kuna mambo ambayo hutokea kila kipindi cha mashindano makubwa, coverage kwenye TVs na magazeti, huge posters kwenye pubs, bendera zinazoning'inia majumbani mwa watu au kwenye magari esp. taxis, etc. English fans are more interesting to watch than their team!
Mkuu KKN & Mtaalam nadhani mko sahihi..... Binafsi siwapendi Uingereza kama timu, ila napenda sana ushabiki wao......jamaa wanapenda soka si mchezo. Ushabiki ni kiungo muhimu sana cha soka...I'll miss them.Nobody will miss England kusema kweli...wanakwendaga kusindikiza wenzao tuu. Kutokuingia kwao kwenye michuano hii kutapunguza fujo na uharibifu wa mali za wenzao....
On the flip side....Oranje need to step their game up na kuanza kushinda vikombe sasa.
Yeah its now confirmed AZZURI skipper FABIO CANAVARO will miss the tournament
Mpo wale wa AZZURI???
Nasikia mtanange unaanza leo....Kuna link yoyote ya kuona cha ndimu mtandaoni? Kama ipo tunaombeni sisi watu wa nyanda za juu kusini............
Nasikia mtanange unaanza leo....Kuna link yoyote ya kuona cha ndimu mtandaoni? Kama ipo tunaombeni sisi watu wa nyanda za juu kusini............
Kusema kweli mashindano haya bila England ni sawa na chuzi bila chumvi, yaani nayamiss mashamsham ya mitaani hapa England kinoma, its as if hayapo kabisa!
Haya Wakuu, tuwangoje hawa Waswisi na Czech watufungulie pazia...yetu macho
Ziko nyingi tuu...lakini kama unatumia dial up usijisumbue...ukiwa tayari niambie nikutundikie.
Yeah its the right time for betting....
Here we go...Swiss Vs Czech 1:1
Portugal Vs Turkey 2:0