Mechi ya jana hujaangalia mkuu!?Umemwangalia?
Kafanya nini mpaka sasa?
Mechi ya jana hujaangalia mkuu!?
Yah, Siyo jambo zuri, But ronaldo ni mpiganaji no doubt about that.Walishinda?
Mchezaji kama Ronaldo kuingia top 16 as best loser ni aibu!
Kwenye makundi unashindwa hata kushinda mechi moja? Utaweza mitoano? Kwa sababu kwenye mitoano ushindi ni lazima.
Yah, Siyo jambo zuri, But ronaldo ni mpiganaji no doubt about that.
Jana kafunga magoli mawilli kaasist moja, ana alikuwa mwiba mkali...huo siyo mchango....Tunataka matokeo, huo upiganaji tunataka uzae ushindi kwa timu nzima.
Jana kafunga magoli mawilli kaasist moja, ana alikuwa mwiba mkali...huo siyo mchango....
ha ha ha!ronaldo kwa messi atasubiria sana..argentina ipo fainal na messi anamabao matano mkononi...ila huyo bishoo anayo mawili tena kwa kuwapiga vibonde
Unavyosema timu mbovu unaangalia jina la nchi o wachezaji o timu inachezaje kwa ujumla.?....hebu jaribu kutazama Copa America Centenario utasahau huo upuuzi wa Euro; hivi, vitimu kama Northern Ireland ,Wales,Slovakia,Hungary,Portugal (yes i mean it Portugal!),Austria, utaviweka wapi vikikutana na Chile,Colombia,Argentina,Uruguay,Paraguay?!
...Halafu ajabu zaidi,hivyo vitimu vibovu ndio vime-qualify kwa last 16?!, bure kabisa!
mchezaji bora in the whole world...kwan ronaldo ndio nani mpka euro ikose msisimko??? mbna akina ibrahimovic, lewandolski hawajawika kabsaa kwny euri hii
hembu nitajie wachezaji ambao ni bora kwenye haya mashindano...Ronaldo mbona sijaona kipya alichofanya kwamba bila yeye mashindano yasiwe na mvuto
Bora kiaje yani waliofanya vizuri kwenye haya mashindano au bora duniani waliopo kwenye haya mashindano?hembu nitajie wachezaji ambao ni bora kwenye haya mashindano...
Na wewe unavyosema mashindano yatakosa mvuto una angalia vigezo gani labda?Unavyosema timu mbovu unaangalia jina la nchi o wachezaji o timu inachezaje kwa ujumla.?