willy ze great
JF-Expert Member
- Apr 30, 2013
- 1,084
- 1,330
Jaribu kuangalia Description ya Gari unayota kuinunue kabla ya kufanya malipoWadau wa hili game mm newbie kwa hili game, nimeanza kucheza jana tatizo steering wheel iko left while nataka iwe righthand drive .msaada hapo maana nashindwa kucontrol vizuri
Sent using Jamii Forums mobile app
hongera bana naona umejikwamuaAisee hii ngoma nina kama truck 100+ hivi garage za kutosha, na zaidi ya billion kwenye A/c [emoji4] upgrades za kutosha...
kwa kuwa wewe ni newbie huwezi badili sterling wala kununua gari ila unaweza kupata gari yenye righthand ukiwa ulaya. Cha kufanya fungua profile mpya tumia nchi za bala la ulaya.Wadau wa hili game mm newbie kwa hili game, nimeanza kucheza jana tatizo steering wheel iko left while nataka iwe righthand drive .msaada hapo maana nashindwa kucontrol vizuri
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu naomba unitumie hili game nami piaWadau wa hili game mm newbie kwa hili game, nimeanza kucheza jana tatizo steering wheel iko left while nataka iwe righthand drive .msaada hapo maana nashindwa kucontrol vizuri
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu ww ndiye ulipewa zawadi ya almasi au?Moja ya A/c yang na Money iliopo
Haaah hapana Chief
Jamaa uko vizur aiseee. Me nmeishia kununua gar 5 tuu. Game nacheza kwa manati snaaMoja ya A/c yang na Money iliopo
tafuta Mario Map baada ya miaka 2 lete feedback tafadhaliwakuu me nnayo simulator 2 njia zimenichosha ntapataje nyingine zenye challange
Nimetumia cheat engineJamaa uko vizur aiseee. Me nmeishia kununua gar 5 tuu. Game nacheza kwa manati snaa
Sent using Jamii Forums mobile app