PreGE2025 Eugen Kabendera: Wamekuja CHAUMMA wapate Ubunge wa kupewa

PreGE2025 Eugen Kabendera: Wamekuja CHAUMMA wapate Ubunge wa kupewa

Mijadala ya Uchaguzi Mkuu wa Tanzania 2025 (Kabla)

Waufukweni

JF-Expert Member
Joined
May 16, 2024
Posts
4,393
Reaction score
14,500
Lengo kuu la chama cha siasa ni kushija dola
 
Eugen Kabendera aliyekuwa Katibu Mkuu CHAUMMA amefichua mazito ndani ya Chama hicho kwa sasa kwa kusema mtazamo na dira ya Chama imebadilika kwani waliokuja kwa sasa wanahubiri tu kuhusu Ubunge.

Pia, Soma
Wamekwenda na ile agenda ya nusu mkate aliyoahidiwa Mbowe na Rais kwani kwa mazingira ya kawaida hakuna mtu anaweza kupata ubunge akiwa Chaumma kwani ubunge ni kura jee hizo kura za kupatia ubunge Chauma zitatoka wapi? Hivyo hao tumaini lao ni kupewa ubunge na dola, wakipata ubunge wa jinsi hiyo ni dhahiri utii wao utakuwa kwa dola iliyowapa ubunge na siyo kwa wapiga kura.
 
Eugen Kabendera aliyekuwa Katibu Mkuu CHAUMMA amefichua mazito ndani ya Chama hicho kwa sasa kwa kusema mtazamo na dira ya Chama imebadilika kwani waliokuja kwa sasa wanahubiri tu kuhusu Ubunge.

Pia, Soma
Huyo hasidi ni mpumbavu
 
Lengo kuu la chama cha siasa ni kushija dola
Na unashikaje dola bila kuwa na wabunge. Kabendera alikitosa chama chake akawekeza kwenye shughuli zake za uanarakati. Wakati ule ukimya wa chama chake ulimfanya aweze chini ya kivuli cha uanaharakati sio uo wa mwanasiasa. Angekuwa committed angekijenga chama chake ili kitambulike zaidi. Sasa wameingia wapambanaji ndio anajifanya mwanasiasa.

Angenyamaza tuu na kuwekeza nguvu zake katika uana harakati. Siasa awaachie wakina Kiwanga na Kigaila.

Amandla...
 
Hakuna kitu watapata huko CHAUMMA kiufupi wametapeliwa
1000037644.jpg
 
Eugen Kabendera aliyekuwa Katibu Mkuu CHAUMMA amefichua mazito ndani ya Chama hicho kwa sasa kwa kusema mtazamo na dira ya Chama imebadilika kwani waliokuja kwa sasa wanahubiri tu kuhusu Ubunge.

Pia, Soma
Inasikitisha
 
Back
Top Bottom