EU Observer, Mbowe, Kova na Kura za Tunduma

Nimejitahidi kufuatilia matokeo ya kura Tunduma yaliyotangazwa na NEC sijayaona. Mwenye uhakika NEC wametangaza Tunduma atuwekee hapa. Na kama haya jatangazwa.

Ningeshauri Kova awachukue EU watazamaji wamfuate Mbowe awaambie hizo kura za Tunduma alizotaja kazitoa wapi na zimetangazwa na NEC ipi ya CHADEMA ama NEC ya Taifa.

Na kama NEC ya Taifa ndo imetangaza basi Mbowe alete mawakala wote wa vyama hivyo copy yake na aoneshe mbele ya media.

Tuletee source bana.
 
Tuletee source bana.

Angalia hapa uone kama Tunduma ipo na imetangazwa na NEC ama kama huamini tafuta source yako mwenyewe nyingine.
Matokeo ya uchaguzi wa urais Tanzania yanavyopokelewa - BBC Swahili

Pili formu wanayo zungusha wenda kabisa ni kura za mbunge, maana mbunge wa tudunduma amepata kura karibu sana na hizo. na nukuu
"Tunduma: Mgombea Mwakajoka Frank (Chadema) ametangazwa rasmi kuwa mshindi wa ubunge katika Jimbo la Tunduma (Mbeya) akipata kura 32,442. Matokeo hayo yametangazwa na Msimamizi wa Uchaguzi Halima Mpita."

source: Mwana Wa Makonda: LIVE UPDATES: Matokeo ya Uchaguzi Mkuu Tanzania 2015.
 
zoom

attachment.php
 
Sasa kama haijatangazwa - Mbowe kayapata wapi hayo matokea? Hivi hii nchi haina sheria za makosa ya uchochezi?
mbona yapo public, yamebandikwa kila kituo kuyasoma sio dhambi, kumwambia mwingine matokeo yaliyobandikwa haijawahi kuwa kosa. msilazimishe makosa ambayo hayapo. Nec ndio tegemeo la ccm.
 
NEC hawajayatangaza, utamtuhumu vipi mtu kwa kitu ambacho hata hajatangaza? wao wanasema NEC imetangza lowasa kapata kura 6000 Tunduma. Wakati NEC bado hata hawajatangaza, na kama wametangaza tunaomba source yake.
 
Imefichwa makusudi, majina hayaonekani. Tunduma NEC hawajatangaza haya wameyatoa wapi?
Hvi matokeo yanayobandikwa vituoni si halali? hao NEC wanayotangaza wanatoa wapi? Basi tukubali kwamba NEC wana matokeo yao wanayotengeza na si haya ya vituoni ambako ndipo kura zimepigwa.
 
Tunduma ..bumbuli..kule kwa mtemvu baada ya kura kukomaliwa zihesabiwe upyavzimekutwa zimezidi idadi ya waliopiga kura

sasa ujiulize zimezidi vipi?mmm

hii ni kumaanisha kuwa.....wengi wapo wasipostahili.....

Shkamoo lu.bu.ver
 
Unaona hayo matokeo ya Tunduma, wanasema NEC imetangaza Lowasa kapata kura 6000, wakati NEC haijatangaza matokeo ya Tunduma. Sielewi kama unanipata.
 
Angalia hapa uone kama Tunduma ipo na imetangazwa na NEC ama kama huamini tafuta source yako mwenyewe nyingine.
Matokeo ya uchaguzi wa urais Tanzania yanavyopokelewa - BBC Swahili

Pili formu wanayo zungusha wenda kabisa ni kura za mbunge, maana mbunge wa tudunduma amepata kura karibu sana na hizo. na nukuu
"Tunduma: Mgombea Mwakajoka Frank (Chadema) ametangazwa rasmi kuwa mshindi wa ubunge katika Jimbo la Tunduma (Mbeya) akipata kura 32,442. Matokeo hayo yametangazwa na Msimamizi wa Uchaguzi Halima Mpita."

source: Mwana Wa Makonda: LIVE UPDATES: Matokeo ya Uchaguzi Mkuu Tanzania 2015.
Unaona jinsi ulivyo Muongo.

Nimekwambia, NILETEE LINK ya NEC kusaidia UONGO WAKO. Umeshindwa vibaya sana. Zaidi ya hapo, huto tu link twako twa BBC na ka blog kako mbuzi hatuna TUNDUMA

HIVI UONGO UNAWASAIDIA NINI?
 
Unaona hayo matokeo ya Tunduma, wanasema NEC imetangaza Lowasa kapata kura 6000, wakati NEC haijatangaza matokeo ya Tunduma. Sielewi kama unanipata.

LETE USHAHID kutoka NEC na sio uongo wako.

IPO WAPI LINK YA NEC
 
Nimejitahidi kufuatilia matokeo ya kura Tunduma yaliyotangazwa na NEC sijayaona. Mwenye uhakika NEC wametangaza Tunduma atuwekee hapa. Na kama haya jatangazwa.

Ningeshauri Kova awachukue EU watazamaji wamfuate Mbowe awaambie hizo kura za Tunduma alizotaja kazitoa wapi na zimetangazwa na NEC ipi ya CHADEMA ama NEC ya Taifa.

Na kama NEC ya Taifa ndo imetangaza basi Mbowe alete mawakala wote wa vyama hivyo copy yake na aoneshe mbele ya media.

Inasikitisha sana huu upotoshaji ambao wanajaribu kuufanya bila hata ya aibu. Matokeo ya Tunduma hayajatangazwa lakini wao tayari wanadai wameibiwa. Nadhani ni gh time NEC kulishikia bango hili suala jamaa waeleze matokeo yao wameyatolea wapi.

Kama tutaendelea kwa mwendo huu kufika mwisho kama nchi itawa ni changamoto kubwa mno.
 
Unaona jinsi ulivyo Muongo.

Nimekwambia, NILETEE LINK ya NEC kusaidia UONGO WAKO. Umeshindwa vibaya sana. Zaidi ya hapo, huto tu link twako twa BBC na ka blog kako mbuzi hatuna TUNDUMA

HIVI UONGO UNAWASAIDIA NINI?

Link ya NEC ni Twitter account na Facebook ya Tume ya Uchaguzi na hakuna matokeo ya Tunduma! Mi mwenyewe nimepitia sijaona. Asubuhi hii natarajia NEC iwaumbue maana Mbowe kazidi usanii na upotoshaji!
 
Tunduma ..bumbuli..kule kwa mtemvu baada ya kura kukomaliwa zihesabiwe upyavzimekutwa zimezidi idadi ya waliopiga kura

sasa ujiulize zimezidi vipi?mmm

hii ni kumaanisha kuwa.....wengi wapo wasipostahili.....

Shkamoo lu.bu.ver

Hivi mbona CCM Wakishindwa wanakaa kimya na maisha yanaendelea.Michagga mimtu ya ajabu sana.
 
Ww na chama chako acha ubishi fuatilia vizuri utayaona, nec kwa taarifa imebugi kuhusu Tunduma
 
Mpango wenu wa propaganda umefeli, msituandae kushindwa, tuko macho!
 
Nimejitahidi kufuatilia matokeo ya kura Tunduma yaliyotangazwa na NEC sijayaona. Mwenye uhakika NEC wametangaza Tunduma atuwekee hapa. Na kama haya jatangazwa.
Nimepitia matokeo yote yaliyotangazwa na NEC kutoka official website ya NEC lakini matokeo ya Tunduma sijayaona-- sasa matokeo anayosema Mbowe kwamba NEC wametangaza kura 6000 sijui ni kutoka NEC ipi!!
 
Back
Top Bottom