Umeiona Press Conference ya Mbowe?! Au unamwambia Mbowe aache uongo?Acheni UONGO. Tunduma imetangazwa saa ngapi?
HIVI HAMJACHOKA TU KUSEMA UONGO.
Umeiona Press Conference ya Mbowe?! Au unamwambia Mbowe aache uongo?Acheni UONGO. Tunduma imetangazwa saa ngapi?
HIVI HAMJACHOKA TU KUSEMA UONGO.
Wala hayupo hapa huyu Pierre, yupo Ireland anatuzingua tu....HahaYaani wewe unasoma matokeo kupitia BBC Swahili? Pole sana..!!
MkamaP ebu tupeni link ya malalamiko ya Mbowe akitaja matokeo haya ya Tunduma kuwa yametolewa na NEC kwa idadi hiyo ya kura 6000. Bahati mbaya mimi sijaiona ninasoma tu hapa mtandaoni na picha inayosambazwa ya matokeo yanayodaiwa ya kweli huko Tunduma niliiona pia hapa mtandaoni ikiletwa na mtu amabaye alikuwa akidai anawatafuta akina Lissu bila mafanikio kuwapa hayo matokeo! Sikujua kama Mh Mbowe pia aliyanukuu katika malalamiko yakeNimejitahidi kufuatilia matokeo ya kura Tunduma yaliyotangazwa na NEC sijayaona. Mwenye uhakika NEC wametangaza Tunduma atuwekee hapa. Na kama haya jatangazwa.
Ningeshauri Kova awachukue EU watazamaji wamfuate Mbowe awaambie hizo kura za Tunduma alizotaja kazitoa wapi na zimetangazwa na NEC ipi ya CHADEMA ama NEC ya Taifa.
Na kama NEC ya Taifa ndo imetangaza basi Mbowe alete mawakala wote wa vyama hivyo copy yake na aoneshe mbele ya media.
Nimepitia matokeo yote yaliyotangazwa na NEC kutoka official website ya NEC lakini matokeo ya Tunduma sijayaona-- sasa matokeo anayosema Mbowe kwamba NEC wametangaza kura 6000 sijui ni kutoka NEC ipi!!
Nimejitahidi kufuatilia matokeo ya kura Tunduma yaliyotangazwa na NEC sijayaona. Mwenye uhakika NEC wametangaza Tunduma atuwekee hapa. Na kama haya jatangazwa.
Ningeshauri Kova awachukue EU watazamaji wamfuate Mbowe awaambie hizo kura za Tunduma alizotaja kazitoa wapi na zimetangazwa na NEC ipi ya CHADEMA ama NEC ya Taifa.
Na kama NEC ya Taifa ndo imetangaza basi Mbowe alete mawakala wote wa vyama hivyo copy yake na aoneshe mbele ya media.
Wewe ni naniNimejitahidi kufuatilia matokeo ya kura Tunduma yaliyotangazwa na NEC sijayaona. Mwenye uhakika NEC wametangaza Tunduma atuwekee hapa. Na kama haya jatangazwa.
Ningeshauri Kova awachukue EU watazamaji wamfuate Mbowe awaambie hizo kura za Tunduma alizotaja kazitoa wapi na zimetangazwa na NEC ipi ya CHADEMA ama NEC ya Taifa.
Na kama NEC ya Taifa ndo imetangaza basi Mbowe alete mawakala wote wa vyama hivyo copy yake na aoneshe mbele ya media.
Unaona hayo matokeo ya Tunduma, wanasema NEC imetangaza Lowasa kapata kura 6000, wakati NEC haijatangaza matokeo ya Tunduma. Sielewi kama unanipata.
Wala hayupo hapa huyu Pierre, yupo Ireland anatuzingua tu....
Yaani kuna watu wakisikia mwanasiasa wanae mpenda kasema kitu tayari wanaamini bila hata ya kufuatilia, matokeo ya tunduma ndio yametangazwa mchana huu na yapo sahii kama karatasi wanayoionesha na si kama wanavyodai kwamba yametangazwa wamepata kula 6000( shame on all of u ambao mnataka kupandisha tu chuki na mihemko ya watu).Mbona povu linakutoka sana mkuu si utulie usubiri mpaka litangazwe hilo jimbo uone tofauti?