Nimefuatilia tamko la Rais wa Umoja wa Ulaya kuhusu kuunda Jeshi la Umoja Huo. Ametoa tamko hilo jana tarehe 16/09/2021
Najiuliza huu ndiyo mwanzo wa mwisho wa NATO? Au wanazidi kumbana Uingereza na hatua yake ya kujiondoa EU?
Umoja wa Afrika tunajifunza nini hapo?