masopakyindi
Platinum Member
- Jul 5, 2011
- 18,852
- 15,039
EU wake sahihi kabisa, DR Shein urais wake mwisho TUMBATU, rais wa zanzibar ni alhaj ndugu matlim seif Sharif hamadMatamshi ya jana ya Umoja wa Nchi za Ulaya hayakubaliki.
EU na washirika wao Wamarekani wana historia ya kuvuruga nchi za dunia ya tatu na kuendeleza machafuko nchi hizo.
Leo wameivuruga Iraq, Lybia na sasa Syria.
Haya matamshi wanayotoa mimi naita ya kijinga juu ya Zanzibaar, ni lazima yajibiwe.
Tukiendelea kuwachekea chekea tutaishia kama nchi walizokwisha kuziangamiza.
Matamshi ya jana ya Umoja wa Nchi za Ulaya hayakubaliki.

kwa ujumla ww ndiye hauna akili,kosa la Eu ni lipi hapa?yaan kusimamia ukweli unasema ni wachochezi?. Kwani kilichofanyika Zanzibar hata kipofu aliona na kiziwi alisikia.Pole,jiandae kwa kibano na kipigo juu.Matamshi ya jana ya Umoja wa Nchi za Ulaya hayakubaliki.
EU na washirika wao Wamarekani wana historia ya kuvuruga nchi za dunia ya tatu na kuendeleza machafuko nchi hizo.
Leo wameivuruga Iraq, Lybia na sasa Syria.
Haya matamshi wanayotoa mimi naita ya kijinga juu ya Zanzibaar, ni lazima yajibiwe.
Tukiendelea kuwachekea chekea tutaishia kama nchi walizokwisha kuziangamiza.
kwahiyo hizo nchi ulizozitqja EEU walisimamia uchaguzi wao? sioni uhusiano!Matamshi ya jana ya Umoja wa Nchi za Ulaya hayakubaliki.
EU na washirika wao Wamarekani wana historia ya kuvuruga nchi za dunia ya tatu na kuendeleza machafuko nchi hizo.
Leo wameivuruga Iraq, Lybia na sasa Syria.
Haya matamshi wanayotoa mimi naita ya kijinga juu ya Zanzibaar, ni lazima yajibiwe.
Tukiendelea kuwachekea chekea tutaishia kama nchi walizokwisha kuziangamiza.
Mkuu unsitazame Arab uprising from only one perspective.kwahiyo hizo nchi ulizozitqja EEU walisimamia uchaguzi wao? sioni uhusiano!
Najua Arab awakening haikuanzishwa kutokana na chaguzi ila kurithishana madaraka plus kuwa life presidents plus kutokuxingatia femokrasia. Najua unaelewa ila unataka kuchangqnya maada maksudi!
Mkuu unsitazama Arab uprising from only one perspective.
Uhusika wa mashirika ya kijasusi katika covert action usiyapuuze.
Ukikusanya kuni kavu wakati wa kiangazi na kuziweka pamoja, kiberiti cha bahati mbaya tosha kuunguza msitu mzima.Unataka kusema yule kijana wa Tunisia aliyejimwagia mafuta akajichoma moto hadharani kwa ajili ya kunyanyaswa na askari jiji akitafuta ridhiki ilikuwa ni covert action ya majasusi wa ulaya?
Wewe mwenye akili iliyokaa mahali palipofichwa sana, kapige kura leo au tia maoni yako juu ya uchaguzi wa Marekani na hata kura ya maoni huko UK.kwa ujumla ww ndiye hauna akili,kosa la Eu ni lipi hapa?yaan kusimamia ukweli unasema ni wachochezi?Yaan akili za maccm ni kama paka shume aisee.Kwani kilichofanyika Zanzibar hata kipofu aliona na kiziwi alisikia.Pole,jiandae kwa kibano na kipigo juu.
Matamshi ya jana ya Umoja wa Nchi za Ulaya hayakubaliki.
EU na washirika wao Wamarekani wana historia ya kuvuruga nchi za dunia ya tatu na kuendeleza machafuko nchi hizo.
Leo wameivuruga Iraq, Lybia na sasa Syria.
Haya matamshi wanayotoa mimi naita ya kijinga juu ya Zanzibaar, ni lazima yajibiwe.
Tukiendelea kuwachekea chekea tutaishia kama nchi walizokwisha kuziangamiza.
===================================================
Wewe ndiye wa kukushangaa,sababu wapenda haki wote duniani wameona yaliyotokea zanzibar,muarobaini wake ni kufuata yaliyopendekezwa na umoja wa ichi za ulaya,mnachoogopa nini kama mnahubiri demokrasiMatamshi ya jana ya Umoja wa Nchi za Ulaya hayakubaliki.
EU na washirika wao Wamarekani wana historia ya kuvuruga nchi za dunia ya tatu na kuendeleza machafuko nchi hizo.
Leo wameivuruga Iraq, Lybia na sasa Syria.
Haya matamshi wanayotoa mimi naita ya kijinga juu ya Zanzibaar, ni lazima yajibiwe.
Tukiendelea kuwachekea chekea tutaishia kama nchi walizokwisha kuziangamiza.
===================================================
Waangalizi hao wameleta mapendekezo ya kuwepo kwa uwazi zaidi kwenye kufanya maamuzi, kuwepo kwa haki ya mgombea binafsi, matokeo ya urais yaweze kupingwa mahakamani na kupitia upya sheria ya mtandao ya mwaka 2015
wamedai ZEC hawakuwa sahihi kuufuta uchaguzi huo kwa kuwa hawakuwakilisha ushahidi wa sababu za kufuta uchaguzi huo
Lakini hatujaona umahiri wa EU kusahihisha makosa yao huko Libya, Syria na Iraq ambako wamehusika sana kuvuruga misingi ya amani iliyokuepo nchi hizo kwa miongo.