EU Hawajatoa tamko kuishutumu Ufaransa iliyovunja haki za waandamanaji!

Umoja wa Ulaya haujatoa tamko lolote kupinga unyanyaswaji wa vijana wanafunzi waliokuwa wakiandamana kumpinga Rais wa ufaransa na sera yake ya kupandisha kodi.

Kinachoshangaza ni ukiherehere wa umoja huo kutoatamko dhidi ya Tanzania.

Bado walami hawa wanadhani Tanzania ni koloni lao.
Kuna aliyepigwa risasi 38, kuna aliyepotea kama azori, ben etc?
 
Ufaransa walivunja wapi haki za waandamanaji?
1 - je walizuia maandamano?
2- waliua?

Askari walikiwa wanatimiza majuku yao kutuliza ghasia.. ila si kuzuia maandamano.

Usije ufananisha uongozi wa bongo na ufaransa.. wako mbali sana kwenye utawala wa sheria
Umoja wa Ulaya haujatoa tamko lolote kupinga unyanyaswaji wa vijana wanafunzi waliokuwa wakiandamana kumpinga Rais wa ufaransa na sera yake ya kupandisha kodi.

Kinachoshangaza ni ukiherehere wa umoja huo kutoatamko dhidi ya Tanzania.

Bado walami hawa wanadhani Tanzania ni koloni lao.
 
Umoja wa Ulaya haujatoa tamko lolote kupinga unyanyaswaji wa vijana wanafunzi waliokuwa wakiandamana kumpinga Rais wa ufaransa na sera yake ya kupandisha kodi.

Kinachoshangaza ni ukiherehere wa umoja huo kutoatamko dhidi ya Tanzania.

Bado walami hawa wanadhani Tanzania ni koloni lao.
Kuna ukiukwaji wa haki za binadamu nchini au haupo?
 
Umoja wa Ulaya haujatoa tamko lolote kupinga unyanyaswaji wa vijana wanafunzi waliokuwa wakiandamana kumpinga Rais wa ufaransa na sera yake ya kupandisha kodi.

Kinachoshangaza ni ukiherehere wa umoja huo kutoatamko dhidi ya Tanzania.

Bado walami hawa wanadhani Tanzania ni koloni lao.
To be fair, hawa jamaa huwa hawakurupuki katika hatua wanazochukua.

Kumbuka mambo mengi wanayoyaongelea yameanza mara baada ya Magufuli kuingia madarakani, mengine kama ile sheria ya mtandao, yalianza kabla hata ya uchaguzi wa 2015. miaka ya mwanzo ya utawala wa Magufuli walikuwa wanatoa kauli fupi tu kwamba "tunafuatilia kinachoendelea". mpaka kufikia hatua wanazochukua hivi sasa, wameshafanya mlolongo wa hatua nyingi tu nyuma ya pazia.

Mfano mdogo, kilichoandikwa katika tamko lao kuhusu yule balozi wa EU aliyeondoka, ni cha undani zaidi kuliko taarifa waliyotoa wakati tukio linatokea. Hii ni kuonesha kwamba hawakutaka mambo yafikie hapa yalipo. si kwamba wanapenda kukwaruzana na Tanzania. wanapenda watumie muda mwingi zaidi kuonega mambo ya ushirikiano wa kibiashara na mambo mengine yenye faida kwa pande zote mbili. mikwaruzano kama hii haiwasaidii wao na wala haitusaidii sisi.

Lakini hawana njia nyingine kwa sababu wanapata presha kutoka kwa wapiga kura wao, ambao wanayaona yanayotendeka. Kama Ufaransa watafanya mambo makubwa ya kukiuka haki za Binadamu, kitu ambacho nadhani ni ngumu kwa jinsi nchi za wenzetu zilivyo, what with all those checks and balances, bado watachukua hatua tu kwa sababu wakikaa kimya itakula kwao.
 
Polisi wa kule wana akili hawawezi vunja haki za watu wako well training
Umoja wa Ulaya haujatoa tamko lolote kupinga unyanyaswaji wa vijana wanafunzi waliokuwa wakiandamana kumpinga Rais wa ufaransa na sera yake ya kupandisha kodi.

Kinachoshangaza ni ukiherehere wa umoja huo kutoatamko dhidi ya Tanzania.

Bado walami hawa wanadhani Tanzania ni koloni lao.
 
Ufaransa walivunja wapi haki za waandamanaji?
1 - je walizuia maandamano?
2- waliua?

Askari walikiwa wanatimiza majuku yao kutuliza ghasia.. ila si kuzuia maandamano.

Usije ufananisha uongozi wa bongo na ufaransa.. wako mbali sana kwenye utawala wa sheria
Inaonekana hufuatilii taarifa za kidunia wewe...umo ndani ya mtungi!
 
Umoja wa Ulaya haujatoa tamko lolote kupinga unyanyaswaji wa vijana wanafunzi waliokuwa wakiandamana kumpinga Rais wa ufaransa na sera yake ya kupandisha kodi.

Kinachoshangaza ni ukiherehere wa umoja huo kutoatamko dhidi ya Tanzania.

Bado walami hawa wanadhani Tanzania ni koloni lao.
mtajuta kuomba ridhaa ya kuongoza, mlisema tutaisoma namba lakini Mungu sio Athumani ninyi awamu ya 5 mnaisoma namba hadi za kichina kama mmezaliwa China vile.
Amekiri Mpango kuwa mko hoi

Waziri wa Fedha: Nchi inapita kwenye kipindi kigumu, wafadhili wamepunguza misaada - JamiiForums
 
Umoja wa Ulaya haujatoa tamko lolote kupinga unyanyaswaji wa vijana wanafunzi waliokuwa wakiandamana kumpinga Rais wa ufaransa na sera yake ya kupandisha kodi.

Kinachoshangaza ni ukiherehere wa umoja huo kutoatamko dhidi ya Tanzania.

Bado walami hawa wanadhani Tanzania ni koloni lao.
Kweli umejaaliwa ujinga. France haiabudu chama !! Wala kiongozi aliyepo madarakani !!! Within 12 yrs wamebadili ma Rais wanne (4) Mitterand, Sarkozy, Hollander na huyu dogo wa sasa naye akizingua ni nje tu.

Usilinganishe na kwetu hapa kiongozi anadai yeye hajaribiwi na wala hashauriwi , na huku akiwa hawajibiki kwa kosa lolote awe au asiwe madarakani. Wakati kule France umeona majuzi tu Sarkozy akiwa mahakamani.

Usilinganishe France na milki ya chama fulani.
Acha ujinga
 
Chadema ndiyo wachawi wa nchi hii
Mchawi huyo hapo!
Screenshot_20181213-211906_1o.jpeg
 
Umoja wa Ulaya haujatoa tamko lolote kupinga unyanyaswaji wa vijana wanafunzi waliokuwa wakiandamana kumpinga Rais wa ufaransa na sera yake ya kupandisha kodi.

Kinachoshangaza ni ukiherehere wa umoja huo kutoatamko dhidi ya Tanzania.

Bado walami hawa wanadhani Tanzania ni koloni lao.

Avertissement de redirection
Ufaransa ime mu akwelina mtu kwani..??? Yaani Damu ya Akwelina haitakaa itoke mikononi mwa jiwe na ndo maana kila anachogusa kinakuwa najisi......ile damu itamlilia paka anaingia kaburini
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom